Saturday, 15 June 2013

SHOW YA MWANA FA AMEAMBULIA PATUPU.... WAJITOKEZA WATU WACHACHE-TAZAMA PICHA NA VIDEO HAPA

Nilikua narudi mjini nikitokea Kigamboni kupumzisha akili. Sasa nikapita pale opposite na iFM kucheki kama Mwana FA kala shavu. FA katia huruma sana. Yaani mlangoni kulikuwa na wanafunzi wachache wa IFM ambao walikua wakiingia kwa bei ya kandambili. Jamaa wa mlangoni walikua wakiwabembeleza watu wachukue tickets japo kwa 10,000/= lakini madent wa IFM walikomaa mpaka kwa 5,000/- kwamba boom limekata... Mdau
Dully Sykes Na Mwana FA Katika Usiku Wa The Finest Kama Zamani @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.
 Linah, Mwana FA Na Maua On Stage @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.
 Wahudhuriaji wa "The Finest" Kama Zamani wakiwa wanaenjoy burudani classic kutoka kwa Mwana FA.
 Vanessa Mdee na Dozen katika viwanja vya Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam kabla ya "The Finest" Kama Zamani Show.
Asma Makau, Jojo, Shadee & A Friend Wakiwa Nje Ya Ukumbi Wa Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam Wakiingia ndani kwa ajili ya "The Finest" Kama Zamani Ijumaa 14/6/2013.
Angalia Video Hapa:
Share:

HAWA NDIO MAJERUHI WA MLIPUKO WA BOMU MKUTANO WA CHADEMA WAKIPATIWA HUDUMA YA KWANZA KATIKA HOSPITAL YA MOUNT MERU

 MADAKTARI NA WAUGUZI WAKITOA HUDUMA YA KWANZA KWA WATU WANAODAIWA KUATHIRIKA KATIKA MLUPUKO WA KITU KIN
ACHODHANIWA KUWA NI BOMU BAADA YA KUJERUHIWA WAKATI WAKIWA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA JIJINI ARUSHA ENEO LA SOWETO.


Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive