Friday, 22 May 2015

TOFAUTI ZA UTAMU WA PENZI..INAENDELEA


 UKE USIOTOSHELEZA
Wanawake wengi hawajui kuwa wana uke wenye kasoro na unaoshindwa kutosheleza kiu ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa kwa sababu wanaume hawajawaambia ukweli wanaume hao huona urahisi kuwaelezea wanaume wenzano lakini kamwe hawawezi kuwaambia wapenzi wao.
Njia pekee ambayo mwanamke atapata taarifa hii muhimu kutoka kwa mwanaume ni pale atakapoweza kumkasirisha sana mwanaume huyo.
Kuna sababu mbalimbali zinazosababisha

mwanamke kuwa na uke mpana na mlegevu mwanamke anaitwa ni mwenye uke mpana na mlegevu pale ambapo kuta za uke wake zimelegea na mlango wa uke wake haubani uume kikamilifu. Zifuatazo ni sababu kuu za mwanamke kuwa na uke mpana na mlegevu.
(1) KUJIFUNGUA MTOTO
Furaha ya kupata mtoto wa kwanza inakuja pamoja na gharama za kushindwa kumridhisha mwanaume wakati wa tendo la ndoa kama ilivyokuwa mwanzoni. Wakati wa kujifungua uke na mlango wa mfuko wa uzazi kutanuka na kujibana mara nyingi sana kipindi chote cha utungu wa uzazi. Kitendo hicho kikichanganywa na msukumo mkubwa wa mwili wa mtoto mchanga kunapelekea uke kupanuka na kuwa mlegevu.


(2) TENDO LA NDOA
Ukifanya mapenzi na mwanaume mwenye uume mkubwa kwa muda mrefu uke wako utapanuka na kuwa na hali ya ulegevu katika kuta zake na mlango wa uke pia. Hali hii hutokea kwa kuwa misuli yenye uwezo kama wa mpira unaovutika vutika baada ya kuvutwa mara nyigni hupoteza nguvu yake ya kuvutika na kurudia hali ya kawaida.

(3) KURITHI
Utafiti unaonyesha kuwa wanawake wengine wenye tatizo hili ni kwa kuwa wamerithi toka kwa wazazi wao au babu zao pia. Utafiti huo ulifanyika miongoni mwa kina dada wenye umri kati ya miaka 12 na 19 na wachache waligundulika kuwa na uke mpana na mlegevu japo walikuwa hawajaingiliwa na mwanaume yeyote.


(4) MENGINEYO
Wanawake ambao huinua vyuma vizito vya mazoezi wamkutwa kuwa na tatizo hilo ukilinganisha na wale ambao hawafanyi mazoezi hayo. Lingine ni kwa wanawake wenye tatizo la kuvimbiwa mara kadhaa wakati wa ujana wao pia hao hukumbwa na hasira hii mbaya. Wanawake wenye umri mkubwa pia nao hukutana na tatizo hili linalokosesha raha.
Kama vile utamu wa vyakula na matunda vilivyo na utofauti kadhalika ili uweze kumfurahisha na kutunza penzi lako ni muhimu uwe na uwezo wa kuleta utamu katika maeneo mbalimbali ya uhusiano wenu.Kwa maneno mengine ni muhimu utumie akili yako kujua maeneo yanayoleta utamu mwingi zaidi kwa mpenzi wako na kufanya kazi hiyo na bila kuacha maeneo mengine yaletayo utamu wa kiasi kidogo
HAYA TUENDELEEE SASA

Ili uweze kufanikiwa katika hilo kwanza lazima utambue kuwa kila mmoja wetu anapendelea vitu tofauti tofauti kama vile kuna wengine hawawezi kula chakula bila pilipili kadhalika kuna watu wengine ambao hawawezi kuendeleza uhusiano unaokuwa na mapungufu fulani. Kwa mfano huo wa pilipili ningependa kusisitiza kuwa inakupasa uwe makini sana katika vitu ambavyo wewe unapendelea lakini mwenzio hapendelei kwani hapo ukishindwa kutimiza haja za mwenzio unaweka uhusiano wako hatarini.Pamoja
na kusema hayo pia ni muhimu ukumbuke kuwa upo uwezekano wa kutokea mabadiliko katika vitu ambavyo unapendelea au mwenzio anapendelea.Usipokuwa makini utashindwa kwenda sambamba na madiliko yanayotoke na baadae ukaanza kuona penzi linapungua siku hadi siku na unapomuuliza mpenzi wako utashangaa kuona anakuwa mkali.Kwanini anakuwa mkali? Anakuwa mkali kwani anauona uzembe wako katika kufuatilia mabadiliko ya utamu wa penzi lenu na kwa kuwa hukuwa makini anaona kama vile ulikuwa humjali kwa makusudi kabisa kumbe sivyo.Jambo hili nimeliona katika mahusiano yangu mimi mwenyewe.KWkuwa nimekuwa muwazi sana wapenzi wangu wengi wamekuwa hawajazoea hali hiyo na kushidwa kunifurahisha katika maeneo kadha na badala ya wapenzi hao kuona ni nafasi ya wao kujifunza mambo mapya wakaniona kuwa ni wa ajabu na mkali jambo ambalo sio la kweli.

Nakumbuka kuwa na uhusiano na dada mmoja mwenye umri wa miaka 24 na dada huyo aliniambia wazi kuwa hajawahi kuachwa na mwanaume yeyote yule kati ya wanaume sita walionitangulia(wakati naazisha ushusiano nae alikuwa hajvunja na kuzika uhusiano aliokuwa na handsome Fulani).Siku moja dada huyo baada ya kufanya kosa fulani na kuadhibiwa aliniuliza anifanyie nini ili nijue ananipenda na mimi nikamwambia ninachohitaji sana ili nijione ananipenda ni heshima.KWA wengi hilo linaonekana jambo rahisi sana lakini ukiliangalia undani wake ni refu na pan asana.Kwa kweli dada huyo alijitahidi sana kuonyesha mapenzi kwangu kwani alidiriki kutoroka kwao na kumhonga mlinzi ili aje kuwa name hadi alfajiri na kwa hilo tu nilimpenda sana.Pamoja na juhidi zake nyingi sana alishindwa kuwa mkweli na muwazi jambo ambalo lilipelekea mimi kuamua kumuacha kwani tayari huko nyuma nilikuwa nimeumizwa vibaya sana na mtu wa aina hiyo.La kushangaza dada huyo alikataa kwa kusema hataki kuachwa na mara kadhaa alikuja nyumbani kwangu na nilipokuwa sipokei simu zake wakati ananisubiri nyumbani alianza kulia hadi majirani wakaingilia kati.NI kweli unaweza kumpenda sana mpenzi wako lakini usipokuwa makini unaweza kuharibu uhusiano huo wewe mwenyewe.

Umuhimu wa kujali tofauti za utamu unaongezeka zaidi kutokana na mambo mengi tofauti tunayokutana nayo katika mitandao na tamthilia .Katika maeneo hayo niliyotaja upo uwezekano wa mtu kujiona sio mzuri wa kutosha au hana uwezo wa kipesa wa kutosha au hapendwi kikamilifu. Hisia zinazojitokeza wakati wa kuangalia tamthilia au kuona mambo fulani kwenye mtandao zina nguvu za kumbadilisha mtu na tabia zake au mwenendo wake.

Changamoto kwako ni kwamba jitahidi kuleta utamu wa kutosha katika maeneo mengi zaidi ya uhusiano wako ili umpe sababu za kufurahia kuwa nawe kama mpenzi.

Tahadhari kwako, uonapo mpenzi wako hataki kufanya mabadiliko mazuri unayomweleza kuwa ni muhimu kwako jua kuwa hana penzi la kweli kwako. Pamoja na hilo pale kuwa mpenzi wako anatamani mambo yanayohitaji uwezo mkubwa wa kifedha kuliko uwezo wenu na hajali uboreshaji wa penzi bila kuhusisha pesa basi tambua kuwa mwenzio ni mpenzi wa fedha na sio mpenzi wako.

Nimuhimu katika uhusiano wa kimapenzi kuwepo kwa mfumo unaoleta utamu tofauti tofauti. Hali ya kupata vitu au mambo tofauti huleta uchangamfu na mshikamano ambao husaidia katika kukuza penzi kati ya watu wawili wanaopendana. MWISHO
Share:

wanafunzi wa kitanzania wafukuzwa kenya

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mamia ya wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika shule za msingi nchini Kenya, wameripotiwa kufukuzwa nchini humo.

Tayari 50 kati yao, wamerejeshwa nchini huku wengine kadhaa wakiwa bado wamekwama katika eneo la Narok Magharibi. Baadhi ya walioathirika ni wale ambao wako katika hatua za mwisho za kuhitimisha elimu yao ya msingi katika darasa la nane.

Vijana hao wanatarajiwa kufanya mitihani yao ya kumaliza shule Oktoba mwaka huu ; na kufukuzwa kwao kunawaweka katika wakati mgumu zaidi kimasomo.

Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Hashim Mgandilwa alikiri kuwepo na tatizo hilo na alilieleza gazeti hili jana kuwa: “Ni kweli wanafunzi wetu waliokuwa wanasoma Kenya wamefukuzwa nchini humo na 44 kati yao wamesharudi nchini, ila tuna wasiwasi kwamba mamia wengine watakuwa bado wamekwama huko na tuko mbioni kuwafuatilia zaidi.”

Meneja wa Baraza la Wafugaji katika Tarafa ya Ngorongoro, Peter Metele naye alikiri kuwepo kwa tatizo hilo na kuongeza kuwa yeye ndiye
anayefanya kazi ya kwenda kuwachukua wanafunzi waliotimuliwa Kenya.

Imeelezwa kuwa chanzo cha kutimuliwa kwa watoto hao ni msuguano, ulioibuka baada ya kufanyika kwa operesheni maalumu ya kuwaondoa wahamiaji haramu kutoka nchi jirani ya Kenya, wanaodaiwa kuvamia maeneo ya Loliondo na Sale.

Hadi sasa watoto 27 wamehifadhiwa kwenye nyumba ya kulala wageni ya Cobra katika eneo la Wasso, Loliondo. Wengine takribani 10 wamepelekwa kwenye kata ya Arash na waliobakia wako majumbani mwao.

“Tumewahifadhi kwenye nyumba za kulala wageni kwa sababu kuna wale wanaotoka vijiji vya mbali sana na tunataka tujitahidi kufanya mazungumzo na viongozi wa upande wa Kenya ili waruhusiwe kurejea mashuleni, iwapo tutafanikiwa basi iwe rahisi kuwarudisha Kenya,” alisema Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji wa Ngorongoro, Metili.

Imedaiwa kuwa wanafunzi waliofanikiwa kurejeshwa ni wale wanaodhaminiwa na Baraza la Wafugaji na wale waliopelekwa na taasisi mbalimbali, ambao ilikuwa rahisi kutumiwa usafiri, ila kwa waliopelekwa na wazazi wao, bado wamekwama Kenya.

“Tulishafanya mazungumzo ya awali na viongozi wa upande wa Kenya siku ya tarehe 12 Mei mwaka huu, lakini ingawa tulikubaliana mengi, ikiwemo wafanyabiashara wetu kuruhusiwa kupeleka bidhaa Kenya inaonekana kuwa wananchi wa Narok wao wana maamuzi yao tofauti na serikali yao hivyo wanasisitiza kuendeleza mzozo, na sasa wameamua kuongeza tatizo kwa kuwatimua watoto,” alisema Mkuu huyo wa Wilaya.

Kwa upande wake, Katibu wa Baraza la Wafugaji, Ngorongoro, James ole Moringe alisema baraza hilo pia linafanya jitihada za kukutana na viongozi wa Narok na walimu wa huko ili kupata mwafaka wa suala hilo.

Akisimulia, mmoja wa wanafunzi hao, Lilian Peter (14) anayesoma darasa la Nane katika

Shule ya Ilkerin-Loita, alisema Chifu wa eneo hilo alifika shuleni kwao na kuwaita walimu ofisini, kisha baadaye Mwalimu Mkuu, Abel Githinji alianza kuingia madarasani na kuwatoa wanafunzi wote wa Kitanzania huku akiwaagiza wafungashe virago.

Wengi wa wanafunzi hao ni wale wanaotoka kwenye tarafa mbalimbali za wilaya ya Ngorongoro, ambayo imepakana moja kwa moja na Kaunti au Jimbo la Narok, Kenya.

Mwanafunzi mwingine, Naini Petey ambaye anasema wenzao wanaosoma shule nyingine ya Naikara, pia walifukuzwa na wengi wao bado wamekwama nchini Kenya, wakisubiri wazazi au wafadhili waende kuwachukua.

Juhudi za gazeti hili kuwapata mawaziri wenye dhamana ya mahusiano ya kimataifa, Bernard Membe wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Dk Harrison Mwakyembe wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, hawakupatikana katika ofisi zao, kwa njia za simu na hata bungeni Dodoma kuweza kuzungumzia suala hilo.
Share:

did Wema Sepetu disclose the woman who might cause Zari and Diamond break up?

This Is Diamond Platnumz Rumored Girlfriend Who Lives In London !

Wema and her following are seriously looking for a way to piss off Diamond and his wife. It’s evident that sooner than later this parties will clash badly.

The war already began amongst their fans, so the clock is ticking before the celebrities blow up at each other faces. The reason am assuming this is because there are some photos being circulated by Wema Sepetu’s fan page.

This photos apparently belong to the woman behind Wema and Diamond’s split. The fan page has been tagging Zari on the other womans photos with the caption “Muke mdogo”.



As petty as it sounds this seems to have gotten to Zari who replied with a strong quote directed to her haters.

As for now I am not sure who runs the Wema fan pages but question is, how would these pages have personal information about Wema and her ex if she is not involved with the whole scandal herself?
Share:

Anti Lulu awatishia wake za watu

Staa wa Bongo Movies na mtangazaji mwenye vituko vingi na kujiachia kwa sana amekuja na mpya nyingine ya kuwakanya wanaomtukana katika mitandao ya kijamii kila anapoweka picha zake.

 Anti Lulu amesema asilimia kubwa ya watu wanamtukana anapoweka picha zinazomuonesha maumbile yake  ni wanawake.

"Asilimia kubwa ya wanawake ndio wanaongoza kunitukana nikiweka picha zangu za Mungu alivyoniumba ..mapaja yangu,hips zangu ma**ko yangu...sasa sijui kwanini mwatukana nyie wanawake angalieni nisiwabebee mabwana au wanaume zenu kwa mlioolewa,mimi mmakonde na Mbondei..mtalia na kusaga meno" aliandika hivyo katika ukurasa wake wa facebook
Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive