Friday, 30 January 2015

26 wauawa kigaidi Misri

Takribani watu 26 wameuawa katika mashambulizi yanayoendelea kufanywa na wapiganaji wa kikundi cha Islamic state kaskazini mwa Misri ktk eneo la Sinai
     
     Gari lililokuwa na mabomu lilipiga kituo cha kijeshi kaskazini mwa Sinai katika mji wa el-arish na kuwauwa wanajeshi kadhaa
Mashambulizi kama hayo pia yalifanyika mji jiran wa sheikh Zuwayid na mji wa Rafah ktk mpaka wa Gaza.
     Kundi la wapiganaji la Ansar beit Al-maqdis ambalo ni mshirika na kundi la Islamic state wamekiri kutekereza shambulio hilo.
     Maafisa wa jeshi wamesema Gari lililokuwa na mabomu liliegeshwa nje ya kambi ya jeshi ya el-arish na mashambulizi yake yalkilenga zaidi hoteli ya jeshi na maeneo mengine muhimu katika ngome hiyo.

Share:

Thursday, 29 January 2015

Baba ajiua baada ya kuona picha za bintiye


Loredana Chivu ni mwanamitindo nchini Romania
Baba mmoja amejiua baada ya kuona picha za uchi zamwanawe wa kike katika jarida la Playboy nchini Romania.
Loredana Chivu alirarua ukurasa uliokuwa na picha yake akiwa 'amepos' katika jarida hilo la Playboy na punde babake alipogundua kuhusu picha hizo, alizongwa na mawazo na hata kumkana mwanawe.
Kwa mujibu wa mtandao wa Mirror, msichana huyo mwenye umbo la kuvutia alisema, '' babangu aliacha kuongea na mimi na kuonekana mwenye hasira sana''.
"alipogundua kuwa picha hizo zilikua zangu, alijitenga sana na kujaribu kunitenga na mimi''.
Nilidhani labda angesahau na sikudhani hata siku moja angejitoa uhai.

Loredana Chivu anasema anajuta sana kwani babake hakuwahi kuongea naye baada ya kupata picha zake
Mwanamitindo huyo Loredana Chivu mwenye mamia ya picha akiwa nusu uchi kwenye akaunti yake ya Instagram, alikuwa na uhusiano wa karibu sana na babake lakini alisema yote hayo yalibadilika baada ya babake kuona picha zake akiwa nusu uchi.
Alipokwenda kumtembelea babake miezi michache baadaye, baada ya kuamua kwamba kimya kilikuwa kimeendelea kwa muda mrefu sana, alishtuka sana kumpata babake akiwa amejitoa uhai
"nilipata akiwa na kamba shingoni akiwa ananing'inia chumbani''.
Loredana,anayeishi nchini Romania, anasema kuwa tangu kifo cha babake, amekuwa akiwaza na kuwazua kwamba aliamua kujiua kwa sababu ya mgogoro kati yetu na hasa kuhusu picha zangu zilizoziona kwenye jarida la Playboy.
''Najuta sana kwamba hakuwahi kupata muda wa kuzungumza na babangu kuhusu yaliyotokea''.
''Hakuwacha ujumbe wowote kabla ya kujitoa uhai, siku zote tulikuwa na uhusiano mzuri lakini yote yalibadilika baada ya baba kuona picha zangu nikiwa uchi. Bado inaniuma sana na singemtakia mtu yeyote kupatwa na kama yaliyonikuta''.
Share:

Thursday, 15 January 2015

HII NDIO STYLE KALI NA KIBOKO KWA VIDUME KUNAKO MAUTAMU SITA KWA SITA.


Jana Mzee wa Makopaz alikutana na mwanadada mmoja, mcharuko kidogo na mkazi wajiji la Mastarehe, Dar es salaam na wakazungumzia masuala mengi sana yanayohusiana na kufanya 
mapenzi, yaani kutiana. Wa Makopazi alipomuuliza swali la ni kwa namna gani mwanamke anavyoweza kumfanya mwanaume anayemchosha kwa kusugua mpaka dakika 50 bila kumwaga ili amwage kwa haraka, alimueleza kuwa dawa ni moja tu; KICHUMA MCHICHA!!

Mwanadada huyo alieleza hilo kwa kina sana huku akisisitiza kuwa kuna staili nyingine, kwa mfano, KIFO CHA MENDE huwa zinampa mwanaume mwanya wa kujidai sana kwa muda mrefu bila kumwaga na hivyo kupelekea mwanamke kukosa raha na kuanza kuchoka ama kupata maumivu kutokana na misuguano!

Aliongezea kuwa staili hizo huwa zinaufanya uke kuwa LUZI( ume panuka) sana na hivyo kushindwa kuubana uume ipasavyo na kusababisha mwanaume asimwage mapema.

Alisisitiza kuwa kiboko ya wanaume wasiomwaga mapema ni staili iitwayo KICHUMA MCHICHA(Angalia kwenye picha hapo juu) kwani huwafanya washindwe kujizuia kukojoa mapema kwa sababu wanakutana na msuguano wa hali ya juu kwenye shingo ya uume!

Alidai kuwa hii ni kwa sababu mashine inavyoingia inakutana na manyama flani yaliyojikusanya kutokana na mwanamke kujikunja kama kambale.

Pia alisema kuwa pia makalio yanayokuwa yakimgusa mwanaume sehemu za chini huwa yanampa mzuka na mshawasha zaidi kwa sababu huwa anajiuliza maswali mengi sana yanayompandisha nyege.

Kwa mafano mwanaume huweza kufikiria haya akiwa kapigiwa staili ya KM: "Duh, hii mashine yote ninaikuna mim!!!', 'Mama yangu weee, makalio malaini kama godoro!" ama "cheki nilivyomkunja, yaani ni kama ndafu!!"

Mambo huwa yanakua mazuri zaidi pale mwanaume amapokuwa akiyapigapiga makalio hayo ya malaika wake yaliyo malaini kama dodoki huku mtoto analalamika kama anakufa vile kutokana na jinsi mashine inavyozama ndani kiulaiiiiiini!!!!
alimalizia kwa kuwasihi watu wote waitumie staili hii pale ambapo wanataka mwanaume amalize mapema, huku akiwasauri wadada na wamama wanunue viatu virefu kama vinavyoonekana kwenye picha hapo juu, kwani vitawasaidia wainame vizuri pale wanaume wanapo wakunja kwa ajili ya kuchuma mboga!
Share:

Aunty Ezekiel na Moses Iyobo waweka wazi penzi lao sasa



Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amedhihirisha penzi lake na dansa wa msanii Diamond Platinumz,Mose Iyobo baada ya picha yao wakiwa wamekaa kimahaba iliyosambaa mtandaoni

Mara kadhaa msanii huyo wa Bongo Movie amekuwa akikana kuwa hana uhusiano na dansa huyo na kutoweka wazi mhusika wa ujauzito wake hivyo picha hiyo imeonyesha kuwa Mose Iyobo kuwa ni mhusika wa ujauzito huo.
Share:

Mwanamitindo Flaviana Matata Achumbiwa na Mbongo..Asema Haya


flaviana

Mwanamitindo Mtanzania Flaviana matata ambaye Novemba 2014 alichumbiwa, amesema kuwa hata atakapoolewa, ndoa haitabadilisha au kuathiri chochote katika kazi zake.
“Kila kitu kitaendelea kama kilivyo sasa mpaka pale nitakapoona sasa imetosha nifanye mambo mengine, lakini haitabadilisha chochote, itabadilisha status tu ndo inakuwa mrs flani basi.” Alisema kupitia XXL ya Clouds Fm.

Mwanamitindo huyo wa kimataifa ambaye hufanyia shughuli zake Marekani, hajataka kumuweka wazi mchumba wake lakini amesema ni Mtanzania anayeishi Marekani.

Baada ya kuulizwa kwanini amechagua kuolewa na Mtanzania mwenzake, alijibu hiki:

Utamaduni ni muhimu sana, Kiukweli simzui mtu kuolewa na utamaduni wowote lakini mimi najua nachokihitaji katika maisha yangu, najua hatufanani najua mwingine anataka mzungu mwingine muhindi, lakini mimi cha kwanza kabisa utamaduni ni muhimu sana.”
Share:

Diamond Akataa Milioni Mia Tano za Lowassa


Ni kama unavyoona  mpenzi msomaji wa blog yetu hivi ndivyo linavyoandika gazeti la visa kuhusiana na habari ya msanii Nassib Abdul almaarufu kama DIAMOND kukataa dau nono la zaidi ya tshs million 500, wakati baadhi ya wasanii wenzake wanalia ukata na kuambulia kuuza unga(cocaine)
    Je kama wewe ungekutana na zari kama hilo ungefanya maamuzi kama hayo?
Share:

Wolper Katika Utapeli wa Pesa Kwa Kutumia Simu, Mwenyewe Adai Sio yeye ni Wolper Fake



"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini  na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna 
bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.

Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap  yake anaeka picha yangu na namba hii.0713 872 165 ipo na nyingne inaishia 40 ." Wolper aliandika kwa masikitiko na kuweka picha hiyo hapo juu
Tabia hii haifai na haivumiliki hebu tumsadie Wolper kwenye hili kwa kuakikisha tuna mbamba huyu FEKI
Share:

Wednesday, 14 January 2015

download new track spinozaworld-ha ha ha ft bris & big


download here
Share:

listen and download new song Nshonz boy-natamani




Share:

listen and download new song@ durt boy-super soaker


Share:

Lemutuz 'Kwenye Shida Ndio Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli'

the King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupotea. Le mutuz alifunguka

 “Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na wale super gademu mburulaaaaa
mazafantazzzz.....nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna hayapigi simu le mazafantazzz.....thank U Super Star Lulu you are a true friend sio le mburulazzzz yanajua kuulizia Party tu the brainlessss mazafantazzz hahahahahahah U know! - le Mutuz”

Kwa mujibu wa Le Mutuz, kwasasa mama yake yupo poa
Sasa wale mabebez wengine anaopigaganao mapicha watakuwa kwenye hali gani baada ya Le Mutuz kuwapa makavu
Share:

Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

zari the lady boss

JINA la Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum
Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook,Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond.

Uhusiano kati ya Zari na Diamond umezua gumzo kila eneo Tanzania na Afrika Mashariki huku wakifananishwa na mastaa wa nje kama vile Kanye West na Kim Kardashian kwa namna wanavyofuatana wakati wote huku Diamond akionesha kila aina ya mbwembwe za kumjali mrembo huyo kutoka Kampala, Uganda.

Uhusiano wa Zari na Diamond umewafanya kuandamana kila sehemu hivi sasa. Wawili hao walianza kuonekana kuwa na ukaribu wa mahusiano tangu Diamond alipokwenda Afrika Kusini kwenye Tuzo za Channel O ambapo Diamond aliibuka na ushindi wa Tuzo tatu.

Baada ya Tuzo hizo, Zari alimualika Diamond kushiriki katika ‘pati’ maarufu ambayo mwanadada huyo huandaa kila mwaka nchini Uganda ambapo mwaka huu ilijulikana kama All White Ciroc Party.

Wawili hao baada ya sherehe hiyo, walifuatana ambapo Zari alimsindikiza Diamond nchini Rwanda na Burundi alipokwenda kutoa burudani nchini humo, na picha kusambazwa katika mitandao ya kijamii na kuwafanya wawili hao kuwa gumzo hivi sasa katika mitandao Tanzania na Afrika Mashariki.

Je, Zari ni nani hasa? Zarina Hassan Tlale.Maarufu kama Zari ni Mganda anayeishi Afrika Kusini.

Mrembo huyo ni mwanamuziki na mfanyabiashara. Ni mwanamke aliyefanikiwa na anayependa kuishi maisha ya kifahari. Anamiliki magari ya kifahari na yenye gharama kubwa kama Lamborghini Gallardo, BMW- 2006,Chrysler-2008, Audi Q7-2010 na Ranger Rover Sports .

Mwanadada huyo ni binti wa Halima Sultan Hassan na Nasur Hassan akiwa na asili ya damu mchanganyiko ikiwa ni pamoja na ya Kihindi , Toro, Somalia na Burundi kutoka mji wa Jinja, Uganda. Babu mzaa mama yake anatoka India na bibi yake ni kutoka Uganda. Babu yake mzaa baba ni kutoka Somalia na bibi yake mzaa baba anatoka Burundi.

Zari maarufu kama The Bosslady aliwahi kuolewa na mwanamume anayejulikana kwa jina la Ivan na kubarikiwa watoto watatu wa kiume Pinto, Didy na Quincy na anamiliki kampuni tatu.

Mwanadada huyu alizaliwa Septemba 23,1980. Zari amekulia katika mji wa Jinja katika nchi ya Afrika Mashariki inayojulikana kama Uganda.

Zari alisoma shule ya msingi, kisha kwenda Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jinja ambapo alisoma kwa bidii kutimiza ndoto zake. Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, mwanadada huyo alihamia katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kampala ambapo alikuwa akitoa burudani ya muziki katika maeneo ya starehe kabla ya kuhamia mjini London, Uingereza na kusomea Stashahada ya masuala ya urembo (cosmetology).

Historia yake kimuziki inaonesha Zari alianza kuimba akiwa na umri mdogo wakati akisoma shule ya msingi ambapo alikuwa akitoa burudani katika matamasha ya muziki yaliyokuwa yanaandaliwa na wafanyakazi wa shule,wakati wa hafla za mwishoni mwa mwaka na katika mashindano mengine ya jumuiya akiwakilisha shule yake.

Ingawa amekulia katika familia ya Kiislamu yenye wasichana sita na wavulana wawili, Zari hakuacha mapenzi yake kwenye muziki. Alianza muziki akiwa na umri mdogo na albamu yake ina nyimbo kali kama ‘Toloba’ na ‘Hotter Than Them’. Watu waliomvutia katika muziki ni Wasanii wa Marekani Arethal Franklin na Whitney Houston wakati akiwa sekondari.

Afrika waliomvutia akapenda muziki ni wanamuziki wa Afrika Kusini Brenda Fassie, Miriam Makeba, Lucky Dube na Malkia wa Muziki Afrika Kusini, Yvone Chaka Chaka. Alipojiunga na sekondari alijiunga na makundi ya dansi,drama na muziki jambo ambalo lilimsaidia kuchaguliwa kwa miaka miwili mfululizo la Muigizaji Bora.

Baada ya miaka miwili ya kufanya vizuri katika majukwaa na matamasha ya shule, alipumzika na kuhama kutoka Uganda kwenda London, Uingereza na kuendelea na masomo yake lakini bado mapenzi yake kwa muziki yakiwa mawazoni mwake. Zari kwa msaada wa familia, mashabiki na marafiki wa- naopenda mtindo wa muziki wake na kuamini anaweza aliamua kuchukua hatua mwaka 2007 wa kurekodi singo yake ya kwanza inayoitwa Oliwange (ikiwa na maana wewe ni wangu) .

Mwaka 2008 Zari alishinda Tuzo ya Channel O ya Video Bora ya Muziki ya Msanii Bora Afrika Mshariki. Hafla ya tuzo hizo ilifanyika Johannesburg, Afrika Kusini. Tangu hapo Zari ameendelea kutoa nyimbo zaidi za kuvutia, huku akitiwa moyo na mashabiki wake wakati huo.

Mwaka 2009 alipata Tuzo inayojulikana kama Diva ya mwaka katika kipengele cha Diaspora tangu hapo aliendelea kutengeneza muziki. Zari hivi sasa anaishi Afrika Kusini ambapo anamiliki maduka makubwa ya vipodozi na shule ya elimu ya juu mjini Pretoria wakati akiendelea kujijenga kimuziki.

Inaelezwa kuwa Zari na aliyekuwa mumewe Ivan wanamiliki Shule ya Brooklyn City ambayo ina kampasi sita Afrika Kusini, huku kila moja ikiwa na wanafunzi kati ya 800 hadi 2,100. Wanafunzi hao hupewa vyeti vya taifa wanapomaliza mwaka. Vile vile Zari amejenga hosteli iliyopo barabara ya Sir Apollo Kaggwa, Kampala na anamiliki nyumba kadhaa katika mji huo hasa eneo la Munyonyo, pamoja na duka kubwa la nguo Afrika Kusini.

Ingawa muziki wake haujafanya vizuri kama wanamuziki wengine wa Uganda akiwemo Jose Chameleone, Bebe Cool, Bobi Wine na Ragga Dee, Zari amekuwa akifurahia kwa mafanikio zaidi kwenye biashara na kutokana na hilo anasema lazima arudishe kwa jamii na hivyo kuamua kusaidia vituo na taasisi kadhaa zinazohitaji misaada kama Katalemwa Cheshire Home, Sanyu Babies’ Home pamoja na Gereza la Luzira.

Mfano mwaka 2013 kutokana na moyo wake wa kusaidia,kwa kutimiza hilo baada ya sherehe zake anazozifanya kila mwisho wa mwaka aliamua kutembelea Kituo cha Watoto Yatima cha M-Lisada kilichopo Nsambya siku moja kabla ya Sikukuu ya Krismasi, akifuatana na watoto wake Pinto, Didy na Quincy.

Alitoa zawadi maalum kwa watoto hao, ambapo Zari alishiriki kuandaa chakula cha Krismasi na kisha baadaye wanawake, sukari, biskuti, mchele na matoke. Mbali na masuala mengine yote, kwa mujibu wa tafiti mbalimbali,watu wengi nchini Uganda wanakubaliana kuwa Zari ndio Mwanamke Mrembo zaidi nchini humo.

“Sitafuti umaarufu, wenyewe umaarufu ndio hunifuata,”aliwahi Zari kusema kupitia mtandao wa Red Pepper akikanusha habari za baadhi ya watu wanaodai kuwa anatafuta umaarufu kwa nguvu.

Habari zake kuandikwa katika mitandao ya kijamii pamoja na shughuli zake za uhisani zimesababisha wengi kudai kuwa anataka tu umaarufu, kujulikana na kuzungumziwa kila wakati.Hata hivyo akijibu madai hayo, Zari alisema umaarufu unamtafuta yeye na sio kwamba yeye anautafuta
Share:

Amanda Apata Kashfa ya Kujiuza Mtandaoni..Mwenyewe Ashtukia Anayemchafua



 MSANII wa filamu Bongo, Tamrina Poshi maarufu kama Amanda, amechafuka baada ya mtu anayejitambulisha kwa jina lake, kujinadi kwa kujitongozesha katika mtandao wa kijamii wa Facebook.

Amanda huyo feki amekuwa akijiuza bila aibu katika mtandao huo kwa kujitongozesha kwa wanaume, kitu kinachomuumiza muigizaji huyo ambaye pia anawashangaza wasanii wenzake juu ya tabia hiyo ya kuchefua.

“Yaani nimekuwa nikiulizwa sana, lakini juzi ndipo nilishtuliwa na msanii mwenzangu, nikafanya uchunguzi na kugundua kwamba kuna mtu ananichafua kupitia mtandao, mashabiki wangu watambue kuwa mimi sijawahi kujiuza na ninajiheshimu,” alisema Amanda.
Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive