
Ni kama unavyoona mpenzi msomaji wa blog yetu hivi ndivyo linavyoandika gazeti la visa kuhusiana na habari ya msanii Nassib Abdul almaarufu kama DIAMOND kukataa dau nono la zaidi ya tshs million 500, wakati baadhi ya wasanii wenzake wanalia ukata na kuambulia kuuza unga(cocaine)
Je kama wewe ungekutana na zari kama hilo ungefanya maamuzi kama hayo?





