Thursday, 15 January 2015

Wolper Katika Utapeli wa Pesa Kwa Kutumia Simu, Mwenyewe Adai Sio yeye ni Wolper Fake



"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini  na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna 
bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.

Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap  yake anaeka picha yangu na namba hii.0713 872 165 ipo na nyingne inaishia 40 ." Wolper aliandika kwa masikitiko na kuweka picha hiyo hapo juu
Tabia hii haifai na haivumiliki hebu tumsadie Wolper kwenye hili kwa kuakikisha tuna mbamba huyu FEKI
Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive