Tuesday, 21 April 2015
Waziri wa TAMISEMI ameitaka mifuko ya jamii kusaidia watumishi kupata makazi.
Mh Ghasia ametoa wito huo jijini dar es salaam wakati wa utiliaji
saini makubaliano kati ya shirika la elimu kibaha na watumishi HOUSING
kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma zinazotarajiwa
kujengwa ndani ya eneo la shirika hilo ambapo amewataka kulenga maeneo
yenye upungufu mkubwa wa nyumba za watumishi.
Kwa upande wake mkurugenzi wa NHC Dk. Fred Msemwa amesema kupitia
ubia huo katika kipindi cha miaka mitano watajenga nyumba 1,150 pamoja
na miundombinu mingine inayoendana na huduma za jamii na hivyo
kutawawezesha wafanyakazi mbalimbali waliopo ndani na nje ya kibaha
kunufaika na kuongeza kuwa nyumba hizo watauziwa watumishi wa umma na
baadae wananchi wa kawaida kwa masharti nafuu.
Serikali ya Tanzania imesema hakuna watanzania waliouawa katika matukio ya mauji Afrika kusini.
Serikali imesema hakuna mtanzania
aliyeuawa katika matukio ya mauji ya chuki za kibaguzi (ZENOPHOBIA)
yanayofanywa na raia wa Afrika Kusini dhidi ya wageni na tayari imeanza
mpango wa kuwarudisha nyumbani watanzania 21 kati ya 23 waliohifadhiwa
katika kambi kwenye mjini DURBUN nchni humo kwa ajili ya usalama.
Akizungumza na waandishi wa habari waziri wa mambo ya nje na
ushirikiano wa kimataifa Mhe. Bernad Membe amesema vifo vya watanzania
watatu vilivyotokea nchni humo havina mahusiano na mauaji hayo
ZENOPHOBIA na kusisitiza serikali ya afrika kusini imeanza kuchukua
hatua na tayari watu wawatu waliohusika na kifo cha rais wa msumbiji
wamekamatwa.
Akizungumzia idadi ya watanzania waliohifadhiwa kwenye
Kambi katika mji wa DURBUN,Mhe Membe amesema takribani watanzania
23 wamehifadhiwa katika kambi ya isipingo iliyo na zaidi ya raia wa
kigeni elfu tatu ambao wako chini ya ulinzi wa serikali ya afrika kusini
na kusisitiza serikali imeanza utaratibu wa kuwarudisha nyumbani
watanzania 21 kati yao.
Akielezea msimamo wa tanzania kufuatia mauaji hayo ya ZENOPHOBIA
yanayoendelea nchni afrika kusini,Mhe. Membe amesema serikali inaunga na
jumuiya ya nchi za SADC kulaani vitendo vya mauaji yanayoendelea nchni
humo ambapo watu 8 wamekwisha uawa kikatili na kuita serikali ya afrika
kusini kuzuia mauaji hayo haraka iwezekanavyo.
Aidha amesema serikali ya Tanzania haitakuwa na tatizo la
watanzania kurudi nchni humo baada ya mauaji kudhibitiwa na kwa upande
wa wafanyabishara walisajiliwa kihalali na kupoteza mali zao, serikali
itawasiliana na wanasheria wake ili kuona namna ya kutafuta namna ya
nchi hiyo kuwafidia hasara waliyoipata.
Serikali yatakiwa kuvishirikisha vikundi vya uhamasishaji kukabiliana na mauaji ya imani za kishirikina.
Akizungumza katika ibada maalumu ya kuhamasisha jamii kujiepusha na
vitendo vya kishirikina iliyoanadaliwa na wadau mbali mbali kwa
ushirikiano na kanisa la Pentekost kamanda wa vijana wa mkoa wa
Arusha Bw. Philemon Molllel amesema baada ya kubainika kuwa ushirikina
ndio msingi mkuu wa mauaji ya walemavu wa ngozi,vikongwe,na maovu
mengine katika jamii kinachohitajika ni kushirikiana na kuhamasishana
kuutokomeza kazi ambayo vikundi hivyo vinaiweza.
Monday, 20 April 2015
Walemavu wa ngozi watakiwa kuboreshewa mazingira mapema badala ya kusubiri kutokea matukio mabaya.
Mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Parseko Vicent Kone amesema hayo katika
hotuba yake iliyo somwa na mkuu wa wilaya ya Singida, Bwana Said
Amanzi katika hafla ya kukabidhi mradi wa uboreshaji wa miundombinu
rafiki kutoka shirika la Koica la nchini korea,na kusema kuwa mashirika
kutoka mataifa mengine wame weza kuchangia na sisi watanzania
inatubidi kuchangia kwani jukumu la kuwalinda walemavu wangozi ni ni la
watanzai wenyewe na kuhakikisha wana pata ulinzi na elimu kama watu
wengine.
Kwa upande wake meneja mradi wa kujitolea kutoka shirika la Koica
nchini korea Bi. Park Jieun amesema mradi wa uboreshaji wa miundombinu
katika chuo cha ufundi na marekebisho kwa watu wenye ulemavu sabasaba
umegarimu zaidi ya shilingi milioni arobaini na mbili kwa ajili ya
kuboresha mazingira ya chuo kwa kujenga mabweni,matanki ya maji na
kuwasaidi walemavu ili waweze kuishi kama watu wengi ambao siyo
walemavu.
LHRC yaitaka serikali kutoa machapisho ya kutosha ya katiba pendekezwa.
Hayo yameelezwa na mwanasheria wa kituo cha sheria na haki za
binadamu (LHRC) Bi.Geline Fuko wakati akizungumza katika mikutano
mbalimbali ya kutoa elimu kuhusiana na katiba inayopendekezwa mjini
songea.
Bi.Geline Fuko amesema katika maeneo mbalimbali waliyozunguka
wamebaini kuwa machapisho ya katiba pendekezwa yako machache hivyo
wameitaka serikali kuchapisha machapisho hayo ya kutosha.
Katika mkutano uliofanyika chuo cha ualimu Songea TTC na
kuwashirikisha wanachuo na walimu katika chuo hicho wanachuo wamekosoa
katiba pendekezwa kutokidhi matakwa ya wananchi.
Sunday, 19 April 2015
dara ya maafa ofisi ya waziri mkuu inakusudia kutumia mabati laini kwa waathirika wa mafuriko Morogoro.
Mkurugenzi wa kitengo cha maafa katika ofisi ya waziri mkuu
Brigedia general Mbazi Msuya ameyasema hayo katika kikao cha kazi cha
wadau na watendaji wanaohusika na maafa katika halmashauri ya wilaya ya
Mvomero kilichojadili juu ya mwongozo wa kuchukua hatua za dharura
kulingana na rasilimali zilizopo ambapo ameeleza mpango wa kutumia
mabati hayo ambayo yanafahamika kama Pre Fabricated House utaanza baada
ya sampo itakayokubalika kupelekwa ngazi za juu kwaajili ya
kuidhinishwa.
Saturday, 18 April 2015
Wanafunzi waliopigwa na radi kufuatia mvua iliyonyesha mkoa wa kigoma wazikwa.
Majonzi yalitawala shughuli hiyo hasa baada ya miili hiyo
kupokelewa katika viwanja vya shule ya msingi kibirizi kabla ya ndugu
kukabidhiwa tayari kwa maziko huku mwili wa Mwalim Elieza Mbwambo
ukisafirishwa kwenda moshi kwa maziko .
Akitoa salam za rambirambi mkuu wa mkoa wa kigoma Luten Kanal
Mstaafu Issa Machibya amewataka wafiwa na wananchi kuchukulia tatizo
hilo kama ni tukio la ajali ya kawaida na kwamba msiba huo ni mzito.
Kwa upande wao viongozi wa dini Shekh Moshi Guoguo kutoka Bakwata
na mchungaji Emmanuel Mtoi wa kanisa la KKKT wakitoa mawaidha katika
msiba huo, wamewataka waumini wa dini mbalimbali kujiandaa kwa kuwa kila
mwanadamu ataonja mauti kwa wakati wake na kwamba imani za kishirikina
zisihusishwe katika msiba huo.
Chama cha ACT chaitaka serekali kutoa taarifa za uchunguzi wa ajali zinazo tokea mara kwa mara.
li kupunguza ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikisababisha vifo
na wananchi kupata ulemavu,chama cha ACT wazalendo kimeitaka serekali
kutoa taarifa ya tume ya uchunguzi wa ajali za barabarani zilizo fanyiwa
utafiti ili kuweza kutafuta namna yakutatua matatizo ya ajali za mara
kwa mara.
akiwahutubia mamia ya wakazi wa manispaa ya Singida na viunga
vyake kwenye mkutano wa kunadi chama cha ACT kiongozi mkuu wa chama
hicho Bwana. Zitto Kabwe ,amesema aliyekuwa waziri wa uchukuzi Dk
Harsson Mwakyembe aliunda tume ya uchunguzi wa ajali na mpaka sasa
majibu hayaja tolewa,jambo ambalo limekuwa likisababisha ajali kuendelea
kutokea na kwa kipindi cha mwenzi Mach na April mwaka huu zaidi wa watu
mianane wamesha poteza maisha kwa ajili ya ajali.
Katika hatua nyingine Bwana. Zitto Kabwe ameitaka serekali
kuhakikisha inawabana wamiliki wa mabasi kote nchini ,watoe mikataba
ya kazi kwa madereva wao ili waweze kujulikana, kwa kufanya hivyo kuta
punguza ajali ambazo siyo za msingi.
Awali mwenye kiti wa chama cha ACT Bi.Anna Mghwira na kada wa chama
hicho Bwana Selemani Msindi maarufu kwa jina la Afande Sele wamesema
huduma nyingi hasa za afya wakati wa zamani zilikuwa zikipatikana
kulingana na uwezo wa serikali wakati ule, na kwasasa nchi imekuwa na
utajiri mwingi wa madini ,kilimo na biashara,lakini cha kushangaza fursa
hizo zimekuwa zikitumiwa na baadhi ya watu na kuwaacha wananchi wengi
wakiwa masikini.
Zaidi ya watu miamoja wahofiwa kufa baada ya kuangukiwa na kifusi katika kijiji cha Karore wilayani Kahama.
Watu zaidi ya mia moja wanahofiwa
kufa baada ya kuangukiwa na kifusi katika machimbo ya dhahabu ya
wachimbaji wadogo wadogo ya kalole yaliyoko katika kata ya msalala
wilayani kahama mkoani shinyanga na inasemekana wachimbaji hao walivamia
mgodi baada ya muda wa kazi hali iliyosababisha mashimo manane ya mgodi
huo kutobozana na hatimaye nguzo kuvunjika na kisha kifusi kuwaangukia.
ITV ilifika katika eneo hilo na kukuta zoezi la kutambua maiti
linaendelea na wakaguzi wakiendelea na zoezi la kukagua mashimo
yaliyokuwa wazi huku baadhi ya wachimbaji walionusurika katika tukio
hilo wakiulalamikia ulinzi wa machimbo hayo kuwa ndio chanzo cha tukio
hilo kwakuwa tukio lilitokea mapema saa kumi na mbili baada ya saa za
kazi lakini inashangaza taarifa kupatikana saa sita za usiku na wamedai
kuwa idadi ya watu waliofukiwa na kifusi ni zaidi ya mia na hamsini
lakini serikali imeridhika na idadi ya watu kumi na tisa ambao
wameshaopolewa hadi wakati huu.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa jeshi la polisi
mkoa wa shinyanga Justus Kamugisha amesema watu hao walivamia mgodi
baada ya muda wa kazi kuisha na kulingana na wingi wao mgodi ulielemewa
na kusababisha nguzo kuvunjika hali iliyosababisha kifusi kuwaangukia
lakini kwa jitihada za jeshi la polisi tayari wameshaopolewa watu kumi
na tisa na kumi na mbili kati yao wameshatambuliwa na tayari
wameshachukuliwa na ndugu zao tayari kwa maziko.
Kwa upande wake mkuu wa wilaya ya kahama Bw. Benson Mwampesya
amesema kwakuwa imeonekana idadi ya vijana walioangukiwa na kifusi ni
wengi zaidi ya hao walioopolewa serikali imeamua kuomba wataalam na
mitambo ya kuchimba eneo hilo kutoka katika mgodi wa bulyanhulu
unaomilikiwa na kampuni ya acacia ili kuharakisha zoezi la kuhakiki kuwa
hakuna maiti zingine zilizonaswa katika mashimo ya mgodi huo.
Ghala lenye dawa zilizopigwa marufuku na zilizokwisha muda wake wa matumizi limekamatwa Mwanza
Maofisa zaidi ya 30 kutoka mamlaka ya chakula na dawa na baraza la Famasi Tanzania
wamekamata ghala lenye dawa za serikali,zilizopigwa marufuku na zilizokwisha muda wake wa matumizi zenye thamani ya shilingi milioni 97 zikiwa zinamilikiwa na mfanyabiashara wa jijini mwanza CHARLES MBUSIRO kinyume cha sheria.
wamekamata ghala lenye dawa za serikali,zilizopigwa marufuku na zilizokwisha muda wake wa matumizi zenye thamani ya shilingi milioni 97 zikiwa zinamilikiwa na mfanyabiashara wa jijini mwanza CHARLES MBUSIRO kinyume cha sheria.
Ghala hilo lililopo eneo la ilemela jijini mwanza limekutwa likiwa
limesheheni zaidi ya 120 za dawa ambazo ni sawa na tani 42 zikiwemo dawa
za serikali za Kenya na Uganda, dawa za misaada, dawa zilizopigwa
marufuku nchini kama vile klorokwini ya sindano, amodiaquine na gripe
water -dawa nyingine zilizokutwa ndani ya ghala hilo na kwenye duka lake
la dawa lililopo Natta barabara ya nyerere ni pamoja na ambazo
hazijasajiliwa na TFDA na azisizoruhusiwa kuuzwa kwenye maduka ya dawa.
Meneja wa usalama wa dawa wa TFDA Kissa Mwamwitwa ndiye aliyeongoza
zoezi hilo liliendeshwa chini ya usimamizi mkali wa askari polisi wenye
silaha za moto.
Baadhi ya maofisa wanaotekeleza operesheni hiyo, wakiwemo
wanasheria kutoka TFDA na baraza la famasi tanzania pamoja na meneja wa
mamlaka hiyo kanda ya kati Florent Kyombo wakizungumzia tukio hilo
wamesema taratibu za kisheria zinafanyika ili kumfikisha mahakamani
mtuhumiwa.
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa kahasa ilemela Richard Peter
alikuwa shuhuda wakati maofisa hao wa TFDA, baraza la famasi tanzania na
askari polisi walipokuwa wakitekeleza zoezi hilo kwenye ghala la dawa
ambalo linasemekana bado halijasajiliwa na TFDA huku mmliki wake charles
mbusiro akitoroka kwa kuruka ukuta na kutokomea kusikojulikana.
Friday, 17 April 2015
Saddam aide Izzat Ibrahim al-Douri 'killed' in Iraq
saddam aide Izzat Ibrahim Al douri
Fugitive Iraqi militant leader Izzat Ibrahim al-Douri,
who was right-hand man to Iraq's ex-leader Saddam Hussein, has been killed, Iraqi officials say.They say he died in fighting in Salahuddin province, north of Baghdad. His supporters have denied the claim.
Douri, 72, led the Naqshbandi Order insurgent group, a key force behind the recent rise of Islamic State (IS).
He was deputy to Saddam Hussein, who was ousted when US-led forces invaded Iraq in 2003 and executed in 2006.
Douri was regarded as the most high-profile official of Saddam Hussein's Baath party to successfully evade capture after the invasion, and had a large bounty on his head for years.
He was the King of Clubs in the famous pack of cards the US issued of wanted members of Saddam Hussein's regime after its defeat.
Body picture
There have been reports of Douri's death or capture before. The now-dissolved Baath party denied the latest claim.However, al-Arabiya TV showed a picture of what it said was Douri's body.
Salahuddin governor Raed al-Jabouri said he had died during an operation by soldiers and allied Shia militiamen east of Tikrit - a city that was recaptured by the government two weeks ago.
Douri's Naqshbandi Order is the main Baathist insurgent group. Despite its secular roots, it is believed to have played a key role in a major offensive by Islamic State last year.
IS seized swathes of territory in eastern Syria and across northern and western Iraq, in an effort to establish an Islamic "caliphate".
But in recent months Iraqi forces - backed by US-led air strikes since August - have recaptured 25% to 30% of the territory initially lost to IS.
The jihadist group still controls large areas, including the second city of Mosul, in the north
The violence in Iraq has been fuelled by the sectarian divide between Sunni and Shia Muslims.
The government is dominated by politicians belonging to the Shia majority and backed by Shia militias. IS and other insurgent groups are Sunni.
On Friday a car bomb reportedly exploded near the US consulate in Irbil, the capital of the autonomous Kurdish region.
Thursday, 16 April 2015
putin sees sanction as stimulus for Russian....
Russian President Vladimir Putin says his country can use Western sanctions to boost economic development by becoming more self-reliant.
He is taking part in a live televised phone-in, with Russia's economic problems figuring prominently.
Mr Putin said he had told business leaders that he did not expect EU-US sanctions - imposed over Russia's actions in Ukraine - to be lifted soon.
"We need to use the situation to reach a new level of development," he said.
It is the 13th such annual phone-in - and usually they last about four hours.
The BBC's Sarah Rainsford in Moscow says the event is highly choreographed but does reveal Russians' concerns. Russians' real incomes have fallen this year for the first time since Mr Putin came to power.
About two million people have submitted questions. Russia's ailing economy is a national preoccupation.
president pledges to raise sewol ferry as S Korea mourns
South Korea's president has promised to raise the Sewol ferry, as the nation marks a year since the disaster.
A total of 304 people, mostly school students, were killed when the ship - which was overloaded and illegally redesigned - sank off Jindo island.
The government has faced a day of anger with relatives cancelling at least one memorial service in protest.
Divers have recovered all but nine of the bodies. Relatives say the ship must be raised and their remains found.
The government says salvaging the ship will cost $110m (£74m) and has previously refused to commit to doing so.
But President Park Guen-hye, speaking at a port in Jindo, said she would take "the necessary steps to salvage the ship at the earliest possible date".
South Korea's National Assembly adopted a resolution saying a speedy recovery of the ferry would help heal "the minds of the victims, survivors and bereaved families... as well as those of all the citizens".
But relatives of the missing students had said there were not convinced that the Sewol would definitely be raised, the BBC's Stephen Evans in Seoul reports.
They remain wary of the plan, and called Ms Park's announcement vague and politically motivated.
Steve Evans, BBC News, Seoul:
Even as President Park gave the bereaved families what they had been asking for, she must have felt their wrath and their grief.
Dressed in the black of mourning, she stood on a windy breakwater near where the Sewol sank and announced that the vessel would be raised - just as the families had demanded.
"I have a heavy heart and my heart aches to think how painful it is," she says.
But bereaved families had left the port before she arrived, a gesture the South Korean media interpreted as a protest against what the families allege is her previous inaction over both the raising of the Sewol and fulfilling the promise of an independent enquiry.
Memorial ceremonies are being held across the country on Thursday.
But relatives cancelled a planned service in the city of Ansan in protest against Ms Park's absence from the event.
In the morning, Prime Minister Lee Wan-koo was prevented from entering the venue by relatives of those who died.
Investigators say the ferry sank after an inexperienced crew member made too fast a turn. The combination of an illegal redesign and overload meant the ship was unstable.
But some relatives say they want an independent and more thorough inquiry into the disaster, which sparked countrywide debate about regulatory failings and official incompetence.
Most of the crew of the Sewol survived.
The captain and three senior crew members have since been given long jail terms for failing to protect passengers.
Eleven other crew members were imprisoned, as was the captain of the a coast guard vessel involved in the botched rescue effort.
Separate trials were held for employees of the ferry operator, Chonghaejin Marine Co. Its owner, Yoo Byung-eun, disappeared after the disaster and was eventually found dead.
Sewol victims
- 325 students aged between 16 and 17 from Danwon High School, south of Seoul, were on a school trip to the holiday island of Jeju when the ferry sank
- Only about 70 survived - many had obeyed orders to stay put as the ferry listed
- Several texted their family members goodbye and to tell them "I love you". One also filmed what turned out to be his last moments on his mobile phone inside the ship. The texts and footage were retrieved by parents and later broadcast on national television
- Some of the survivors later testified that they had to float out of cabins and most of the crew members did not attempt to help them
- At least three crew members died trying to evacuate passengers. They included an engaged couple, Jung Hyun-seon and Kim Ki-Woong, and the youngest crew member Park Ji-young, who gave her lifejacket to a passenger. All three have been named "martyrs" by the government
Wednesday, 15 April 2015
huawei announced P8
Huawei announced its new smartphones in London, far from its Shenzhen-based headquarters
Huawei has unveiled its latest flagship phones with cameras that it says are capable of creating "professional" looking photos and videos.
The firm said a mix of an advanced sensor and optical image stabilisation tech offered superior night photos and the ability to create "light painting" effects with real-time previews.
The Chinese company is pitching its P8 handsets as "premium" options.
But one analyst said the firm still had a "mountain to climb".
The Shenzhen-headquartered company impressed many reviewers with the design of a smartwatch unveiled at Barcelona's Mobile World Congress in February, which one tech blog described as "the surprise hit" of the trade fair.
here's would happen if us bombs iran
Last week, Republican Senator Tom Cotton criticized President Obama's nuclear deal framework with Iran, saying that Obama was refusing to admit that airstrikes against Iran's nuclear facilities would only take "several days," and wouldn't require any longer-term military commitment to be effective. Obama, he said, was offering a "false choice" between the deal and war.
A number of influential foreign policy analysts, particularly at some of the more hawkish conservative institutions in DC, have openly endorsed military action as the best possible way to prevent Iran from getting a bomb. And while Cotton is notably more hawkish than most politicians, few of whom openly support a strike on Iran's nuclear facilities now, many 8u suggested that airstrikes or even war should be on the table if talks fail.
U.S. STRIKE RISKS SHATTERING INTERNATIONAL CONSENSUS, MAKING POST-WAR CONTAINMENT MORE DIFFICULT TO IMPLEMENT"
Advocates of bombing Iran sincerely believe that it's the best possible option for dealing with a bad situation. And the position isn't totally crazy: if Iran is dead-set on getting a bomb, it'll be hard to stop them peacefully. A nuclear armed Iran would be a major threat to the Middle East, and the US military is easily capable of overpowering Iran's armed forces in a straight fight.
But attacking Iran would end in disaster. Surgical strikes would only set Iran's nuclear program back temporarily; destroying the country's nuclear capacity entirely would require outright war. That would kill thousands of people, destroy whatever vestiges of political stability remain in the Middle East, potentially wreak havoc on the global economy, and — barring a total, Iraq-style military occupation of the country — fail to permanently end Iran's nuclear program.
Why many Iran hawks believe air strikes are the only way
Friday, 10 April 2015
vatcan wamkataa balozi why?
Mzozo wa kidiplomasia umezuka kati ya makao makuu ya papa mtakatifu ya the Vatican na Ufaransa kuhusiana na uteuzi wa balozi mpya wa Ufaransa, mjini Rome.
Rais wa Ufaransa Francois Holland, amempendekeza muumini mmoja wa kanisa hilo ambaye ni mpenzi wa jinsia moja kuwa balozi wake mjini Vatican.
Lakini utawala wa Vatican umesema uteuzi huo haukubaliki.
Makao makuu ya papa mjini The Vatican hayajasema lolote kuhusiana na uteuzi huo ,lakini ni dhahiri kuwa baadhi ya maafisa wakuu katika kanisa hilo hawajakubali msimamo wa papa kuhusiana na waumini wa kanisa hilo ambao ni wapenzi wa jinsia moja.
Papa alinukuliwa akihoji kuwa yeye hawezi kumhukumu mtu yeyote kwa misingi yoyote.
Serikali ya Ufaransa ilimteua laurent Stefanini kuwa balozi wake mjini vatican mnamo mwezi Januari mwaka huu.
Balozi Stefanini mwenye umri wa miaka 55,amekiri hadharani kuwa yeye anashabikia mapenzi ya jinsia moja na amewahi kufanya kazi katika ubalozi huo mjini Roma na amekuwa mshauri wa masuala ya kidini katika wizara ya mambo ya nje ya ufaransa.
Kwa sasa hakuna upande unaoonekana kuwa tayari kubadili msimamo wake.
Ufaransa ilhalalisha ndoa za jinsia moja mwaka 2013 na uamuzi wa The vatican wa kukataa kumkubali balozi Stefanini huenda ikawa ni thibitisho la The vatican la kutoidhinisha msimamo huo wa Ufaransa.
Wednesday, 8 April 2015
hatimaye Gabon waandaa kombe la Afcon 2017
Gabon ndiye mwenyeji wa kombe la mataifa ya Afrika yatakayoandaliwa mwaka wa 2017.
Gabon imeahidi kutumia viwanja 4 katika mashindano hayo yenye timu 16 kati ya mwezi Januari na Februari.
Viwanja hivyo vitakuwa Libreville Franceville, vilivyotumika mwaka wa 2012,huku Port Gentil na Oyem
zikitarajiwa kukamilishwa katika kipindi cha miezi 14 ijayo kwa mujibu wa onyesho la shirikisho la soka la Gabon.
Gabon, inayopewa nafasi ya kushinda kinyang'anyiro hicho, iliandaa kwa pamoja na majirani zao Equatorial Guinea, fainali za mwaka 2012
Wenyeji wa awali wa fainali hizo, Libya, ambako vita vya wenyewe kwa wenyewe vimekwamisha shughuli za mpira, ilijitoa mwaka jana kuandaa mashindano hayo.
Kamati ya shirikisho la vyama vya soka barani Afrika, Caf, itaendesha uteuzi huo katika mkutano wake wa mwaka utakaofanyika mjini Cairo,
Misri kuamua nani atakuwa mwenyeji wa fainali hizo.
Ghana iliandaa imewahi kuandaa fainali za mwaka 1963, 1978 na 2008 na iliandaa kwa pamoja na Nigeria fainali za
mwaka 2000 kama waandaji mbadala wakati Zimbabwe iliponyang'anywa haki ya kuandaa fainali hizo.
Algeria iliandaa fainali za mwaka 1990 wakati waliposhinda taji hilo pekee barani Afrika.
Caf pia inatarajiwa kupanga ratiba ya kufuzu kwa fainali hizo, ambayo itazishirikisha pia nchi za Morocco na Tunisia.
Morocco ilifungiwa kushiriki katika fainali mbili mfululizo za shirikisho la Caf baada ya kushindwa kuandaa fainali za mwaka 2015
lakini walishinda kesi hiyo baada ya kukata rufaa katika mahakama ya michezo, CAS.
Tunisia imeondolewa adhabu ya kutoshiriki michuano ya shirikisho hilo baada ya kuomba radhi kwa kulishutumu shirikisho hilo kwa upendeleo.
Monday, 6 April 2015
mtoto azaliwa bila pua
Eli Thompson alizaliwa tarahe nne Machi jioni, lakini alikuwa na kasoro moja, hakuwa na pua.
Siku niliyojifungua, kila kitu kilikuwa sawa.'' Mamake Brandi McGlathery ameambia ABC News Today nchini Marekani.
''Alipozaliwa daktari alimweka kifuani mwangu. Nilipomwangalia kwa karibu, nilisema ' Hana pua'. Walimchukua na kutoka naye.
McGlathery amesema kwamba daktari alikaa kando ya kitanda chake ili kumweleza hali ya mtoto wake. ''Alikuwa amehuzunika..''Amesema.'' Nilijua papo hapo kuwa hakuwa sawa.''
Hata ingawa mtoto wake hakuonyesha kasoro zozote zaidi, McGlathery amesema kuwa alishangazwa na kuhuzunika kutokana na habari hizo.
Lakini licha ya kukosa pua, Brown amesema kuwa mtoto huyu ana afya nzuri na pia ni mtoto mrembo.
boko haramu yawauwa watu 20 nigeria....
Watu 20 wameuawa mashariki mwa Nigeria kufuatia mashambulizi mapya yanayoendeshwa na kundi la Boko Haram katika eneo hilo.
Eneo la kwaJaffa, katika jimbo la Borno, lilishambuliwa Jumapili jioni na washambulizi hao waliowashambulia wananchi na baadaye kuteketeza nyumba zao.
Majuma machache yaliyopita miji kadhaa na vijiji vilikombolewa na wanajeshi wa Nigeria wakisaidiwa na Chad, Cameroun na Niger.
Mwanamume aliyetoroka mji wa Kwajaffa wakati wa mashambulizi ya kundi hilo la Boko Harram amerudi nyumbani kwake na kupata kumeharibika pakubwa.
Aliambia BBC kuwa alihesabu maiti za raia waliokuwa wamepigwa risasi na wanamgambo wa Boko Harram na alipata maiti zingine zilizokuwa zimeteketezwa.
Shambulio hilo linadhaniwa kuwa adhabu kwa jamii nzima kwa sababu karibu nyumba zote ziliteketezwa.
Boko Haram lina tabia ya kulenga maeneo ambayo raia wameunda makundi ya ya kiusalama ambayo wakati mwingine hushirikiana na wanajeshi wa Serikali.
Vijiji viwili katika eneo la Kala Balge lililo karibu na mpaka na Cameroon pia vilishambuliwa na watu 14 waliuawa.

Washambulizi hao wamefukuzwa katika miji na vijiji vingi na jeshi la muungano wa mataifa jirani ambayo yangali nchini humo.
Hata hivyo mauaji ya hivi karibuni yanaonyesha kuwa raia wengi wangali katika hatari ya kushambuliwa wakati wowote.
Zaidi ya watu milioni moja waliotoroka makwao bado hawawezi kurudi nyumbani kwa sababu hakuna usalama.
kenya yatekeleza shambulizi somalia
Ndege za kijeshi za Kenya zimeshambulia maeneo ya wapiganaji wa kundi la Alshabaab katika taifa jirani la Somalia ,msemaji wa jeshi ameiambia BBC.
Ndege hizo zililenga maeneo mawili ya jimbo la Gedo,linalotumiwa na wapiganaji hao kuvuka na kuingia Kenya, msemaji huyo ameongeza.
Maeneo hayo mawili hutumiwa na wapiganaji hao kupanga mshambulizi nchini Kenya.
Wanajeshi wa AMISOM walitarajiwa kupeleka wanajeshi wao katika eneo hilo la Gedo lakini hadi sasa hawajafanya hivyo.
Hili ni shambulio la kwanza la Kenya kwa shambulizi la alshabaab ambalo lilisababisha mauaji ya watu 148 katika chuo kikuu cha Garissa wiki iliopita.
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameapa kujibu shambulizi hilo kwa njia mbaya zaidi.
Msemaji wa jeshi la Kenya David Obonyo ameiambia BBC kwamba Jeshi la Kenya lilijibu vitisho kwa kutekeleza mashambulizi ya angani siku ya jumapili usiku katika eneo hilo.
Hakuna maelezo zaidi ya oparesheni hiyo yaliotolewa.
Sunday, 5 April 2015
kenya waitumia pasaka kuwa siku ya maombolezo garisa.
Ikiwa siku ya kwanza ya zile tatu za maombolezi zilizotangazwa na rais Uhuru Kenyatta wa Kenya imeanza kufuatia shambulizi la chuo kikuu cha Garissa,makanisa yote nchini Kenya yatajitolea kuwaombea waathiriwa wa tukio hilo wakati huu wa sikukuu ya pasaka.
Shambulizi hilo la siku ya Alhamisi liliwaacha takriban watu 150 wakiwa wameuawa.
Shirika la msalaba mwekundi nchini Kenya linasema kuwa hadi sasa maiti 54 zimetambuliwa katika chumba kimoja cha kuhifadhi maiti kwenye mji mkuu wa Kenya Nairobi.
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa idara za usalama zinahitaji kuongeza jitihada za kupambana na wanamgambo wa Al shabaab.
Chuo cha kutoa mafunzo ya kiislamu kinacheshimiwa zaidi nchini Misri, Al-Azhar kimelaani kile ilichokitaja kuwa shambulizi la kigaidi dhidi ya wanafunzi wasio na hatia.
Saturday, 4 April 2015
je, waijua mikao ambayo ni rimbwata kwa ndoa?
Msomaji wa blog hii Leo ni siku nyingine tena ambayo kwa kudra za m.Mungu ametufi?isha pasi na uzito wowote.
Leo tutazumgumzia namna ambayo mwanamme anatakiwa kumuweka mpenzi/mke wakati wa kufanya tendo la ndoa.
Kuna mikao mingi sana inayojulikana lakini leo ntazungumzia mikao/styles kama wengi wenu mnavyofahamu.
1: Mlalo kifudi
huu ni mkao ambao kama utautumia vizuri basi mwenzi wako anaweza kusikia raha za ajabu kiasi kwamba hata kama ana mpenzi mwingine anaweza kumtaja.
unacho takiwa kufanya ni kumuacha mke/mpenzi wako atangulie akiwa amelala kifuli fuli na we kumtokea kwa nyuma huku ukiulazimisha mwili wako ugusane na wa mpenzio. Hii itasaidia kuongeza msisimko na itazidisha utamu.
Hii pia ni style ambayo kama muhusika utakuwa mtundu kwenye kuutumia mchi vizuri basi mpenzi wako lazima akojoe haraka.
Unachotakiwa kufanya ni kumuacha mpenzi wako atangulie akiwa ameinama hii husaidia kuufanya uke kurudi nyuma hivyo hata unapoupeleka mchi huingia pasi na usumbufu wa aina yoyote.
Hii pia ni style ambayo huleta msisimko mzuri wakati wa tendo husika. Mara nyingi hii style hutumiwa na wale ambao hujishugurisha na kazi ngumu kama kumwaga zege, kubeba magunia n.k
kwa picha na maelezo kuhusu styles nyingine endelea kufuatilia hapahapa.






















