Tuesday, 30 June 2015

Omg.... They caught fighting for a man.......


Tokeo la picha la picha warembo
Two women was caught fighting for a man on yesterday near MABATINI STAND MWANZA
tukio hili la kustaajabisha lilitokea jana mchana maeneo ya mabatini stendi karibu na daraja kubwa la kuvukia waenda kwa miguu, aidha kitu kilichowaacha watu mbavu hoi ni pale ilipogundulika kuwa mwanamme wanayempigania sio wa hata mmoja wapo kati yao.

sekeseke hilo lilikolea pale ambapo mmoja kati yao alipo mtandika mwenzake ngumi kali akaanguka kama gunia la mkaa
aidha aibu kubwa ilitawala pale ambapo walifikia hatua za kuchaniana nguo nguo kwani mmoja kati ya wapiganaji hao alimchania mwenzake nguo ya chini yaani skerti pamoja na kyupi.
kwa picha zaidi za tukio hili bofya hiyo picha hapo chini.

Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive