Sunday, 7 July 2013
Hatimaye Abu Qatada afikishwa Jordan.
Mahakama nchini Jordan imeshitaki Muhubiri wa Kiislamu Abu Qatada kwa makosa yanayohusiana na Ugaidi baada ya kurejeshwa nchini Humo akitokea Uingereza mapema hii leo.
Abu Qatada akipanda ndege wakati anaondoka.
Mashitaka ya kesi hiyo yamefuata yale ya mwaka 1999 dhidi yake.
Amesalia kwenye kizuizi chini ya gereza lenye ulinzi mkali kwenye eneo la jangwa nje kidogo ya mji mkuu wa Amman.
Kufika kwa Abu Qatada nchini Jordan kumemaliza mabishano ya kisheria ya miaka nane ya serikali ya Uingereza kutaka kumrejesha nchini Jordan,
Mabishano ambayo yameigharimu serikali ya Uingereza kiasi cha pound milioni mbili na nusu fedha za walipa kodi.
Mwandishi wa BBC mjini Amman amesema licha ya ahadi ya serikali ya Jordan ya kuendesha kesi hiyo kwa uwazi na usawa, lakini wanahabari wamezuiliwa kuingia mahakamani kusikiliza kesi hiyo
.
BABU CHA MIAKA 92 AFUNGA NDOA NA BINTI ALIYEMZIDI MIAKA 70...!!!
Musali Mohammed al-Mujamaie (kulia) akiwa na mkewe, Muna Mukhlif al-Juburi.
Mkulima mmoja nchini Irak mwenye miaka 92 amemuoa mwanamke waliyetofautiana miaka 70 katika ndoa tatu kwa mpigo sambamba na wajukuu zake wa kiume wawili.
Musali Mohammed al-Mujamaie alimuoa mke mwenye umri wa miaka 22, Muna Mukhlif al-Juburi katika sherehe iliyodumu kwa masaa manne.
Wajukuu zake wa kiume, wenye umri wa miaka 16 na 17, nao walifunga ndoa kwenye sherehe hiyo iliyofanyika kaskazini mwa Baghdad Alhamisi iliyopita, kwa mujibu wa ripoti.
Mzee Mujamaie alisema kwenye siku hiyo maalum alikuwa akisubiria kwa muda mrefu kutokana na harusi za wajukuu zake kuwa zinaahirishwa mara kadhaa ili aweze kuunganisha na sherehe yake.
Alieleza: "Nina furaha sana kuoa pamoja na wajukuu zangu," Mzee Mujamaie alisema baada ya sherehe hiyo ya masaa manne. "Najihisi kama mwenye umri wa miaka 20!"
Mzee Mujamaie aliwalea watoto wake 16 kwenye nyumba yake iliyoko kijiji cha Gubban akiwa na mke wake wa kwanza, ambaye amezikwa kusini mwa mji wa Samarra ulioko katikati ya Irak.
Ndoa yake ya pili imekuja miaka mitatu baada ya mkewe kufariki.
Sherehe hiyo ya masaa manne ilijumuisha muziki na usakataji dansi na upigaji bunduki za kusherehekea.
Viongozi wa kijadi na kidini walihudhuria sherehe hizo tatu.

TID ASEMA "YES AM SMOKING MARIJUANA(BANGI) ILA MADAWA YA KULEVYA NO
Mtangazaji wa kipindi cha The Sporah Show, Sporah Njau hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu alipofanya interview na muimbaji mahiri nchini, Khalid Mohamed aka TID kwenye show hiyo kutokana na maswali yake yaliyogusa mambo ya ndani ya mkali huyo.
Sporah alimuuliza maswali yaliyogusa masuala mazito katika maisha ya msanii huyo ikiwa ni pamoja na shutuma kuwa anatumia madawa ya kulevya, tabia yake inayotafsiriwa kama ya dharau, kuwa na hasira, kupungua kwa afya yake na suala la kifo cha aliyekuwa rafiki yake, Albert Mangweha. TID alikuwa akijieleza zaidi kwa lugha ya Kiingereza huku akitumia Kiswahili kidogo. Haya ni baadhi ya masuala aliyoulizwa na kujibu:
Kuhusu sababu ya kifo cha Ngwair
I don’t have a crew kwasababu he was away, he was in South Africam actually in Johannesburg. He was on tour it was actually a proper time we wanted him to go that big baada ya ile nyimbo tuliyofanya ‘No Beef’ and it was getting a lot of airplay, so we thought that could be the right time for him.
We gave him a concert abroad ili apate exposure so when he comes back he is gonna be on the right time. Lakini ndio hivyo bahati mbaya we just heard like he was unconscious then he stopped breathing, they took him to hospital and he was lastly pronounced dead. Sasa mimi hata sijui, I am in Tanzania and I haven’t slept for the past two months kwahiyo sasa sielewi ni nini tatizo limeenda. Wao wamesema it’s a sudden death hivyo ndivyo wameandika kwenye certificate yake ya death. I am gonna miss this guy, damn only God knows how much.
Kuhusu lini ataacha kuwa mtu wa sifa
This is whom I am, sometimes it’s hard for people to understand, me I am not like them, I am different, I am the other guy they see me on TV so when they think I have Misifa, maybe that’s the attitude that I was born with. It’s very hard to explain, it’s very hard to make everybody like you while you are on the spotlight, it’s impossible. And sometimes I have to get it along, all my tweets are everywhere, it’s crazy. When I’m saying am taking a shower right now, people say ‘why are taking shower right now’ they have to comment about me.
Kuhusu shutuma kuwa anatumia madawa ua kulevya
People say a lot of things about me, they were just trying to exaggerate my life. Yes I’m smoking marijuana, that’s my sensitive thing. Hata kama promoter amenikuta nimelala, I had too much to drink., I am tired of the show, nimesafiri siku nzima, nimetoka zangu Dar es Salaam kwenye msiba, I have to be tired, I am a human being, I don’t have any access to drugs in the UK, how can I get drugs here? That’s impossible but to me it’s because I am on the spotlight and everybody is tryna get the advantage of it.
And I really don’t know who are they, do they like me? Do they fancy my fortune? Do they wanna be like me? Do they appreciate the talent I have been giving for all these years? Au do they want to come around and make a point? So I am gonna do what I do best, give them right tunes, connecting my music to the world like what I am doing right now. These is more like a third time me and you (Sporah) we are talking right here, people with drugs don’t have a capability of making music. Some of them do, but I am not the one, I am very focused I have a family, I have a band, I need my future, I need to fulfil my dream. So whatever they say, it’s not gonna stop me from doing, being the best.
Kuhusu kupungua kwa afya yake (hapa TID alikasirika kiasi cha kubadilika na kutaka kutoendelea na show)
I’m fit, I am healthy, I don’t care about what people say about me, it’s my weight, it’s my life, it’s my health. If am good, am good.
Do you think you have good healthy at the moment?
Yeah I am fine, I am healthy
I don’t think you are healthy though
Are you my doctor? Are you tryina be my doctor?
I mean you don’t look healthy
You think so but I look healthy. You haven’t taken me to hospital how do you prove such a thing? So you have a point, you brought me here today to tell me unhealthy, you wanna have an interview with an unhealthy person? I really don’t appreciate what you are saying if you are coming to the point like telling me straight I am unhealthy. I am healthy, you are not a doctor, you haven’t checked me yet so don’t tryna be.. (tusi)
Kwenye interview hiyo pia, TID alidai kuwa anatarajia kuja na filamu ya Girlfriend Part 2.
Source:Bongo 5

UWOYA, LUCY KOMBA NDANI YA BIFU ZITO
MWANAFUNZI na mwalimu wake katika sanaa, Irene Uwoya na Lucy Komba wameingia katika bifu zito chanzo kikidaiwa kuwa ni mwalimu huyo kumzunguka mwanafunzi wake kwa mumewe, Hamad Ndikumana ‘Katauti’. Lucy ambaye ndiye mwalimu wa Uwoya kisanaa, imedaiwa kuwa amemzunguka Uwoya kwa mumewe, Ndiku kwa kisingizio cha kucheza naye filamu iliyofahamika kwa jina la Kwa nini Nisimuoe?
“Kimenuka! Lucy Komba amemhadaa Ndiku, akazuga kuigiza naye filamu moja ndipo walipozama kwenye ukaribu kwelikweli.
“Mbaya zaidi filamu yenyewe wameigiza wahusika wawili tu (Lucy na Ndiku) mwanzo mwisho kule Tegeta. Sasa wewe unafikiri kuna nini hapo kama siyo mapenzi?’’ kilihoji chanzo hicho makini.
Baada ya paparazi wetu kuyanasa madai hayo, Jumatano iliyopita alimtafuta Uwoya kwa njia ya simu ambapo alipopewa taarifa hizo, alionesha kushtuka na kuchanganyikiwa mumewe kuigiza filamu moja na Lucy, alikata simu kisha baadaye akampigia paparazi yeye.
“Kuna wakati nilikuwa namtafuta Ndiku sijui alipo kumbe alikuwa na Lucy, sawa lakini kama Lucy ameamua kunifundisha mimi na sasa amemfundisha mume wangu sawa, tupo hapa!”
Paparazi wetu alihamishia majeshi kwa kumtwangia ‘mtuhumiwa’, Lucy ambaye alitiririka kama ifuatavyo:
“Nilijua Uwoya akisikia itakuwa ni balaa maana siku za nyuma niliwahi kumshutumu kutoka na mzazi mwenzangu (Patrick Mbasha) lakini mimi nipo tayari kwa lolote!”
Lucy Komba ndiye aliyemuingiza Uwoya kwenye sanaa baada ya kumchezesha Filamu ya Yolanda ambayo ndiyo iliyomtambulisha vyema staa huyo kisha kuliteka soko la sinema Bongo.

MOYO WA MANDELA ULISMAMA KWA DAKIKA 40
Johannesburg.Kuharibika kwa gari la wagonjwa lililombeba Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, kulisababisha moyo wa shujaa huyo kusimama kwa dakika 40. Hayo yalibainishwa na daktari wa moyo anayemtibu shujaa huyo wa Afrika Kusini, kwamba Juni 8, mwaka huu, wakati akipelekwa hospitali gari lililombeba lilipata hitilafu njiani na kukwama kwa muda. Daktari huyo wa moyo anayeheshimika nchini Afrika Kusini, (jina linahifadhiwa) alisema jana kuwa gari la wagonjwa lililokuwa likimpeleka Mandela hospitali liliharibika katika njiapanda ya Gauteng na kusababisha wasubiri gari lingine kwa zaidi ya dakika 45. “Moyo wake ulisimama kabisa tukiwa ndani ya gari, ikatubidi tumfufue kwa mashine (resuscitate),” alithibitisha daktari huyo bingwa. Ripoti inaeleza kuwa gari hilo la wagonjwa linalomilikiwa na jeshi, liliharibika wiki tatu zilizopita kati ya Pretoria na Johanersburg. Chombo cha habari cha Marekani, CBS kiliripoti jana kuwa moyo wa Mandela ulisimama kwa dakika kadhaa kabla gari lingine halijaletwa na kumpeleka Mandela katika hospitali ya Medi-Clinic. Wakati moyo wa Mandela uliposimama, nje kulikuwa na baridi kali kiasi cha nyuzi joto sita tu, hali ambayo inaelezwa kuwa ilichangia kuharibu zaidi mapafu ya Baba wa Taifa la Afrika Kusini. “Mke wa Mandela, Graca Machel, alikuwa amechanganyikiwa kwa dakika hizo 40, ambazo tulikuwa tukisubiri gari lingine,” kilisema chanzo hicho. Ingawa msemaji wa Rais Jacob Zuma, Mac Maharaj alisema kuwa madaktari wamethibitisha kuwa Mandela hakupata madhara makubwa kutokana na baridi hiyo, madaktari wengi wameonyesha kupingana naye. Daktari wa moyo, David Janekelow alisema, kutokana na hali yake, ucheleweshaji wa aina yeyote ile lazima ulisababisha madhara. “Unahitaji kupata matibabu ya dharura haraka iwezekanavyo. Kama mtu tayari alikuwa anafufuliwa, ucheleweshaji wa kumpeleka hospitali lazima ulete madhara,” alisema Janekelow. Daktari mwingine wa moyo, Richard Nethonde alisema, Mandela angekufa pale barabarani wakati wanasubiri gari la wagonjwa liletwe, imekuwa ni kama bahati hakufa. Wakati huohuo, gazeti la the Sunday Times limeeleza kuwa Graca, mke wake analala katika chumba kilicho pembeni ya chumba anacholala Mandela, kwa siku zote, tangu Mandela alazwe. Wakati huohuo, wakili wa mjukuu wa Mandela, Mandla Mandela, amesema atafungua mashtaka kwa baadhi ya wanafamilia ya Mandela kwa kuidanganya mahakama kuhusu hali ya shujaa huyo. Wakili huyo, Gary Jansen alisema kuwa wanafamilia hao walipeleka hati yenye maneno ya uongo mahakamani wakieleza kuwa Mandela yu mahututi, jambo ambalo limekanushwa na Rais, Jacob Zuma aliyemtembelea juzi. “Tutapeleka malalamiko ambayo yatatokana na hati ya kiapo iliyopelekwa mahakamani na wanafamilia 15 wa Mandela, kwa ajili ya kufukua miili ya watoto wa Mandela,” alisema Jansen. Wakili huyo alisema kuwa, wanafamilia hao walipeleka hati hiyo wakiitaka mahakama ichukue uamuzi wa haraka kwani afya ya Mandela ni mbaya, jambo ambalo ni la uzushi. “Lazima tufanye uchunguzi wa kutosha kwa sababu mwanasheria wa familia hiyo, ametumia hati ya kiapo vibaya” alisema Jansen. Wakati hayo yakiendelea, wananchi wengi Afrika Kusini wanaendelea kukusanyika katika viwanja vilivyopo karibu na Hospitali alikolazwa Rais Mandela kumuombea ili apate nafuu mapema. Habari kutoka ndani ya familia ya Mandela zinaeleza kuwa huenda mgogoro mkubwa zaidi ukaibuka endapo Mandla atatimiza azima yake ya kufungua kesi nyingine