Friday, 30 January 2015

26 wauawa kigaidi Misri

Takribani watu 26 wameuawa katika mashambulizi yanayoendelea kufanywa na wapiganaji wa kikundi cha Islamic state kaskazini mwa Misri ktk eneo la Sinai
     
     Gari lililokuwa na mabomu lilipiga kituo cha kijeshi kaskazini mwa Sinai katika mji wa el-arish na kuwauwa wanajeshi kadhaa
Mashambulizi kama hayo pia yalifanyika mji jiran wa sheikh Zuwayid na mji wa Rafah ktk mpaka wa Gaza.
     Kundi la wapiganaji la Ansar beit Al-maqdis ambalo ni mshirika na kundi la Islamic state wamekiri kutekereza shambulio hilo.
     Maafisa wa jeshi wamesema Gari lililokuwa na mabomu liliegeshwa nje ya kambi ya jeshi ya el-arish na mashambulizi yake yalkilenga zaidi hoteli ya jeshi na maeneo mengine muhimu katika ngome hiyo.

Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive