Wednesday, 20 August 2014

HUYU NDIE MSICHANA AMBAE ALIPOTEA KWENYE MAZINGIRA YA KUTATANISHA HUKO SONNGEA.

Dada mmoja aliyefahamika kwa jina moja tu, Regina ambaye alikuwa ni mkazi wa songea. Amekutwa akiwa kama mwehu mkoani mwanza.
     Baadhi ya wasamaria waliomtambua dada huyu wamedai kuwa  huko songea alikuwa ni mke wa bwana julius lusangano na ni mama wa watoto wawili Elizabeth na James
        Aidha wasamaria hao wamedai kuwa dada huyu alifariki dunia mnamo mwezi December mwaka jana. Kutokana na homa ya maralia iliyo mshika ghafla.
       Palipo na wengi hapaharibiki jambo, watu wenye roho Safi wamejitokeza na kumchangia nauli ili kesho arudi kwao.

Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive