Saturday, 23 May 2015

Watu 5 mkoani Shinyanga washikiliwa na polisi kwa kufanya biashara ya viungo vya binadamu.

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limewakamata watu watano waliokuwa wamejificha katika hoteli moja iliyoko wilayani Kahama mkoani humo wakifanya biashara ya viungo vya binadamu vinavyodhaniwa kuwa nia vya alibino hali ambayo inaonyesha dhahiri kuwa imani potofu na vitendo vya kishirikina bado vinaendelea kufanyika.
Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga Bw. Justus Kamugisha amethibitisha kukamatwa watu hao akiwemo mwalimu wa shule ya msingi katunguru iliyoko katika tarafa ya msalala wilayani Kahama aliyetajwa kwa jina la bahati kirungu huku kamanda kamugisha akidai kuwa jeshi la polisi linaendelea kufanya uchunguzi kuhusiana na tukio hilo ili kuwabaini na kuwakamata watuhumiwa wengine wanaojihusisha na biashara hiyo.
 
Aidha kamanda kamugisha amesema bado kunahitajika nguvu kubwa katika harakati za kukomesha biashara haramu ya viungo vya binadamu inayochafua sifa ta taifa huku akiwataka watanzania kushirikiana na jeshi la polisi kupambana na biashara hiyo ili kuwanusuru binadamu wenzetu wasio na hatia wanaofanyiwa vitendo vya kikatili.
Share:

KENYA:RUTO’s Lawyer Wants to Marry OBAMA’s Daughter - Here is What He is Offering as Bride Price

lawyer associated with Deputy President William Ruto is preparing to propose to US President Barrack Obama’s daughter, Malia, when the Obamas visit Kenya in July.

Speaking to one of the local dailies, Felix Kiprono Matagei said that he is ready to meet Barrack Obama and Michelle Obama to discuss the matter when the US President visits in July.

“I got interested in her in 2008. As a matter of fact, I haven’t dated anyone since and promise to be faithful to her. I have shared this with my family and they are willing to help me raise the bride price,” Kiprono said.

The young lawyer, who hit the headlines when he moved to court seeking to have William Ruto sworn in as President when Uhuru travelled to The Hague for his International Criminal Court (ICC) case, claims his love for Malia is real and not infatuation.

“People might say I am after the family’s money, which is not the case. My love is real,” Kiprono said adding that, “I am currently drafting a letter to Obama asking him to please have Malia accompany him for this trip. I hope the Embassy will pass the letter to him. I will hand it over to the US Ambassador with whom we have interacted several times.”

The controversial lawyer said he is ready to pay 50 cows, 70 sheep and 30 goats as bride price
Share:

Diamond: Tumeshapima DNA na kujua mtoto ni wa kike

Bwana mdogo Huyu alipokuwa anahojiwa na mtangazaji wa BBC na kuulizwa swali kama ameshajua Jinsia ha mtoto kwa kushangaza kabisa alijibu yes tumeshapima DNA na kujua mtoto wa ni wa kike.ushauri wangu kwa Dogo kwa kusema ukweli ame emprove sana kwenye Lugha Ila tatizo ni mbwembwe na uongo akiacha Uongo na mbwembwe lazima tutegemee makubwa zaidi toka kwake.
Share:

Staa Afumwa Akifanya Mapenzi Live Kwenye Choo Cha Club, Wenyewe Wadai Walizidiwa

Staa Mmoja Maarufu Jina Kapuni kwenye Tasnia ya Bongo Flava Amejikuta katika Aibu Kubwa Baada ya Kufumwa Akibinjuka na Msichana ambae jina halikuweza fahamika kwenye choo cha Club Moja Maarufu Hapa Dar, Walipoulizwa inadawa walijitetea kuwa wamezidiwa.
  ze bosses blogspot tulitumiwa picha na maelezo yapo hapo chini
                     
                               bofya hapa
Share:

Lemutuz: Aliyevuruga Matokeo ya Jana Tuzo za Watu Yupo Busy Pia Kuvuruga Matokeo ya KTMA, Nitamtaja Laivu

lemutuz_nation 'Well, huwa ninaongea na FACTS with EVIDENCE toka jana Usiku nimesema I smell fish kama nilivyo smell Fishy kwenye matokeo ya Miss Tanzania ya Mwaka jana kuna wajinga akili ndogo walioanza kunirushia matusi LE AKILI KUBWAZZZZ now ninasema jana HAKI HAIKUTENDEKA kuna wanaojaribu kuninyamazisha na matusi...great ninarudia tena sikuenda Shule kuwa mjinga so toka jana niliingia kwenye uchunguzi wa FACTS and EVIDENCE of WHO IS BEHIND LAST NIGHT MESS tayari nimeshaanza kupata the TRUTH....tena the TRUTH ni aliyevuruga jana yupo busy pia kuvuruga Matokeo ya KMTA....soon nitakuwa na "LE TAMKOZZZ FOUR LIVE" and I mean it...stay tuned hahahaha U know makelele yangu toka jana yameleta kizungu zungu behind the scene wameshaanza kuvurugana na kunipigia niache hahahaha..now stay tuned NITAMTAJA ALIYEVURUGA SHOW YA JANA NA FACTS and EVIDENCE....na I HOPE NITASAIDIA KUTOVURUGWA KWA KTMA maana ni huyo huyo gademu mazafantazzz! Na the good thing watayarishaji hawakuhusika kabisa so stay tuned! - le Mutuz
Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive