lemutuz_nation 'Well, huwa ninaongea na FACTS with EVIDENCE
toka jana Usiku nimesema I smell fish kama nilivyo smell Fishy kwenye
matokeo ya Miss Tanzania ya Mwaka jana kuna wajinga akili ndogo
walioanza kunirushia matusi LE AKILI KUBWAZZZZ now ninasema jana
HAKI HAIKUTENDEKA kuna wanaojaribu kuninyamazisha na matusi...great
ninarudia tena sikuenda Shule kuwa mjinga so toka jana niliingia kwenye
uchunguzi wa FACTS and EVIDENCE of WHO IS BEHIND LAST NIGHT MESS tayari nimeshaanza kupata the TRUTH....tena the TRUTH ni aliyevuruga jana yupo busy pia kuvuruga Matokeo ya KMTA....soon nitakuwa na "LE TAMKOZZZ FOUR LIVE"
and I mean it...stay tuned hahahaha U know makelele yangu toka jana
yameleta kizungu zungu behind the scene wameshaanza kuvurugana na
kunipigia niache hahahaha..now stay tuned NITAMTAJA ALIYEVURUGA SHOW YA JANA NA FACTS and EVIDENCE....na I HOPE NITASAIDIA KUTOVURUGWA KWA KTMA maana ni huyo huyo gademu mazafantazzz! Na the good thing watayarishaji hawakuhusika kabisa so stay tuned! - le Mutuz
Saturday, 23 May 2015
Home »
matukio ya miziki yetu
» Lemutuz: Aliyevuruga Matokeo ya Jana Tuzo za Watu Yupo Busy Pia Kuvuruga Matokeo ya KTMA, Nitamtaja Laivu






