Saturday, 27 July 2013

STARS WAKIWA MAZOEZI KUPAMBANA NA CRANE LEO

Wachezaji mbalimbali wa Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Satrs' ambao wanasakata kabumbu ndani ya nchi wakijifua katika Uwanja wa Taifa wa Mandela uliopo Nambole nchini Uganda. Stars ipo nchini Uganda na kesho inataraji kushuka katika dimba la uwanja huo kumenyana vikalina The Crenes ya Uganda kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa Ndani
CHAN.

Moja ya mikakati ya Taifa Stars kwenye mechi ya kesho (Julai 27 mwaka huu) dhidi ya Uganda kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Tatu za Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) zitakazofanyika mwakani nchini Afrika Kusini ni kushambulia kwa muda mwingi wa mchezo.

Share:

WAZIRI MKUU WA ZAMANI ATAKIWA KURUDISHA MAGARI YA SERIKALI MARA MOJA...!!!

former kenyan prime minister Raila Omolo Odinga

Former Prime Minister Raila Odinga. Through the spokesman Muthui Kariuki, the government also accused the former premier of putting a siren on one of the cars and using it to manoeuvre through traffic in the city.
In Summary
The spokesman was, however, dismissed last evening by Cord deputy minority leader Jakoyo Midiwo, who said two former presidents who had the same status as the former PM, had not returned anything to the government.
The government Thursday accused former Prime Minister Raila Odinga of failing to return six government vehicles in his possession almost four months after leaving office. Through the spokesman Muthui Kariuki, the government also accused the former premier of putting a siren on one of the cars and using it to manoeuvre through traffic in the city. “He is forever mourning that the government is not giving him recognition, yet he has refused to return six government vehicles and has gone on and bought an illegal siren and is forever driving all over town using the wrong lanes,” the spokesman said yesterday. The spokesman was, however, dismissed last evening by Cord deputy minority leader Jakoyo Midiwo, who said two former presidents who had the same status as the former PM, had not returned anything to the government. “How many vehicles have former presidents Kibaki and Moi returned? They were thinking of allocating Sh700 million for Mr Kibaki’s retiring house, yet they are asking the PM to return vehicles?” Mr Midiwo said, even as Mr Kariuki blamed Mr Odinga for the heckling during the funeral service on Tuesday for 11 students and four teachers who perished in a road accident two weeks ago. “It is common knowledge that Raila’s sidekicks spent three days in Kisii County plotting how they would disrupt the funeral service,” Mr Kariuki said, adding that the money paid the hecklers was drawn from the “Kisii county coffers.” Trip to the US Meanwhile, Mr Odinga last night led 10 governors allied to Cord on a trip to the US amid reports the Kenyan embassy in Washington was not aware of the event. A statement from the Raila Odinga Secretariat said the governors will meet and make presentations to potential American investors at a forum in Dallas. But a statement attributed to Kenya’s acting ambassador to the US, Ms Jean Njeri Kamau, said the mission was unaware of the forum. “We therefore have no comment,” Ms Kamau said.

Share:

AIBU:NABII APEWA KICHAPO NA MAJIRANI BAADA YA KUZINI NA MCHUNGAJI WA KANISA

MWANAMKE anayejulikana kwa jina la Nabii Juliana wa Kanisa la Miracle Assemblies of God, amepigwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuingilia ndoa ya Mchungaji Richard Kiondo. Tukio hilo la aina yake ambalo lilikusanya umati wa watu, lilitokea hivi karibuni maeneo ya Ukonga Mazizini, jijini Dar ambapo nabii huyo alipigwa hadi kuchaniwa nguo. Akielezea mkasa huo, mtoto wa mchungaji wa kanisa hilo, Christina Kiondo alisema baba yake alikuwa akishirikiana kwa huduma ya kanisa na Nabii Juliana lakini katika ushirika huo anaamini wawili hao walikuwa na uhusiano usiofaa. Alisema kisa cha nabii huyo kupigwa, hivi karibuni mwanamke mmoja alikwenda nyumbani kwa Mchungaji Kiondo na kuwaeleza watoto hao kwamba anamdai baba yao shilingi 40,000, kitu ambacho kiliwashitua sana kwa kuwa baba yao anaishi kwa nabii na pia hawakujua fedha hizo alikopa kwa ajili ya familia gani. Mtoto mkubwa wa mchungaji huyo, alimtuma mdogo wake nyumbani kwa nabii huyo kwa lengo la kwenda kumuita baba yao ili aje kuzungumza na mwanamke huyo. Ilidaiwa kuwa, mtoto huyo alipofika alikutana na nabii na kumwambia amemfuata baba yake lakini alimfukuza. “Baadaye alikuja hapa nyumbani na kuanzisha varangati kitu ambacho hakikukubalika kwa majirani kwani tangu siku nyingi wanajua uhusiano wake wa baba. “Majirani walitoka kwa wingi baada ya kumsikia nabii akitufanyia fujo, walianza kumshushia kipigo mpaka alipokuja kuokolewa na mjumbe wa eneo hili na kupelekwa polisi,” alisema Christina. Akizungumza na mwandishi wetu, mjumbe wa eneo hilo Joseph John ‘Mzee Kasheshe’ alithibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo alikiri kutokea kwa tukio hilo. Kwa upande wake, mke halali wa mchungaji huo ambaye yuko Mbagala kwa matibabu, alisema alizipata taarifa za nabii huyo kupigwa. Aliongeza kuwa tangu zamani mama huyo alikuwa akienda na mumewe nyumbani hapo akidhani kuwa wote ni watumishi wa Mungu hivyo hakuwahi kuwatilia shaka hadi baadaye sana aliponyetishiwa na watu. Kufuatia kipigo hicho, Nabii Juliana alipofika polisi alitoa malalamiko yake na kufungua kesi yenye kumbukumbu: MAZ/RB/2246/2013 KUHARIBU MALI.

Share:

Hawa ndo wanawake wa Nairobi ambao mchana ni makahaba, usiku ni wake za watu

Inatisha sana kuona wanaofanya hiv ni wake za watu na wengine ni vigogo katika serikali
je twaweza uita mwisho wa dunia?

Share:

Kaka wa Michael Jackson ameiona video ya P Square ‘Personally’ na kuyazungumza haya

Wakati mwingine nikitazama kwa jicho jingine naona ni jinsi gani P Square pamoja na mapenzi waliyonayo kwa Michael Jackson, ni jinsigani wanavyojua kujipanga kwa ajili ya promo ya wao wenyewe kuzidi kujitangaza.. Ni mwezi mmoja tu umepita tangu watoe video ya single yao mpya ya ‘Personally’ ambayo ndani yake wamemuenzi mwimbaji staa Michael Jackson kwa kucheza kama alivyokua akifanya wakati wa uhai wake, lakini ndani ya hiki kipindi kifupi toka video itoke… wakali hawa wa Nigeria wamefanya juu chini mpaka video hii ikaifikia familia ya MJ. Jermain Jackson ambae ni kaka wa Michael Jackson amezungumza, kawasifia na kuwashukuru P Square kwanza kwa uamuzi wao wa kumuenzi MJ, ni kitu kilichomfurahisha sana kuanzia kwenye uimbaji na uchezaji ndani ya video yenyewe, kamalizia kwa kusema P Square ‘all the best, thank you’

Unaweza kumtazama akiongea mengine kwenye hii video hapa chini.


Share:

Ghasia zaongezeka Misri

Kiasi ya watu tisa wameuwawa katika mapigano makali nchini Misri katika maandamano makubwa baina ya mahasimu wanaounga mkono jeshi na wanaopinga kuangushwa kwa rais Mohammed Mursi,anayechunguzwa kwa mauaji.
Mapambano yanaendelea katika hali inayozidi kuongezeka ya mvutano na waungaji mkono wa itikadi kali za Kiislamu wa Mursi.

Umwagikaji wa damu umeongeza hali ya wasiwasi kulikumba taifa hilo la Kiarabu lenye wakaazi wengi, na huenda hali hiyo ikachochea kuchukuliwa hatua muhimu na jeshi dhidi ya chama cha Mursi cha Udugu wa Kiislamu wiki tatu baada ya kuondolewa kutoka madarakani.
Wapinzani na wafuasi wa Mursi wakipambana mitaani mjini Cairo

Waunga mkono jeshi

Katika jiji hilo lenye wakaazi wengi, mamia kwa maelfu ya Wamisri waliitikia wito wa mkuu wa majeshi jenerali Abdel Fattah al-Sisi kuingia mitaani na kutoa mamlaka ya kupambana na ghasia zilizotokana na kumuondoa madarakani hapo Julai 3 rais wa kwanza nchini Misri kuchaguliwa katika uchaguzi huru

Wapinzani na wafuasi wa Mursi wakipambana mitaani mjini Cairo

Chama cha udugu wa Kiislamu kilifanya
 maandamano yao, wafuasi wakimiminika na kujaza eneo linalokaliwa hivi sasa na waandamanaji ambao wako katika eneo hilo kwa muda wa mwezi sasa kaskazini ya Cairo kabla ya ghasia kuripuka. Mwandishi habari wa shirika la habari la Reuters amejionea mapambano makali ya silaha katika majira ya asubuhi ya Jumamosi kati ya majeshi ya usalama na waungaji mkono wa Mursi, ambao walivunja mawe katika eneo la wapita njia na kuwarushia polisi.

 Waandamanaji katika uwanja wa Tahrir mjini Cairo

Wingu la mabomu ya kutoa machozi lilitanda hewani.

Likimnukuu afisa wa polisi ambaye hakuwa na silaha, shirika la habari la Misri, MENA limeripoti kuwa watu tisa wameuawa katika ghasia nchini humo na kiasi watu 200 wamejeruhiwa. Msemaji wa kambi inayomuunga mkono Mursi amesema kuwa waungaji mkono wanane wa chama cha Udugu wa Kiislamu wameuwawa katika mapambano karibu na eneo linalokaliwa na waandamanaji kaskazini mwa Cairo pekee, na mwingine mwingine amesema kuwa walenga shabaha waliojificha juu ya nyumba walifyatua risasi.

Kiongozi aliyeondolewa madarakani Mohammed Mursi


Idadi rasmi



Idadi rasmi ya waliofariki , wengi wao ni kutoka mji wa pili nchini Misri wa Alexandria katika pwani ya bahari ya Mediterranean , ambako mamia ya watu walipambana vikali, kwa risasi na watu waliojificha juu ya majumba wakirusha mawe kwa makundi ya watu chini.

Wengi wa wale waliouawa wamechomwa visu, mahospitali yamesema , na kiasi mtu mmoja alipigwa risasi kichwani.

Baada ya al-Sisi kuwatolea wito waandamanaji kujitokeza kwa wingi, taarifa za uchunguzi dhidi ya Mursi kuhusiana na kutoroka kwake jela mwaka 2011 zimeashiria ongezeko la dhahiri la jeshi la nchi hiyo kupambana na kiongozi huyo aliyeondolewa madarakani na kundi hilo la itikadi za Kiislamu.

Shirika la habari la MENA limesema kuwa Mursi ambaye amekuwa akishikiliwa katika eneo ambalo halijulikani katika eneo la kijeshi tangu kuondolewa madarakani, ameamriwa kuwekwa kizuwizini kwa muda wa siku 15 akisubiri uchunguzi.
Kiongozi aliyeondolewa madarakani Mohammed Mursi

Waziri wa mambo ya ndani aliyewekwa na jeshi , Mohammed Ibrahim, amesema ukaliaji wa eneo la mjini Cairo kwa muda wa mwezi mmoja sasa na wafuasi wa Mursi , utafikishwa mwisho hivi karibuni kwa njia za kisheria, gazeti la serikali la Al-Ahram limesema katika tovuti yake.

 Jenerali Abd al-Fattah as-Sis

Wasi wasi nchi za magharibi
Kuna hali ya wasiwasi katika mataifa ya magharibi kuhusiana na hatua ya jeshi dhidi ya Mursi, ambayo imezusha ghasia za wiki kadha katika taifa hilo la Kiarabu lenye ushawishi mkubwa linalopakana na mshirika mkubwa wa Marekani Israel.

Mwandishi : Sekione Kitojo / rtre

Mhariri: Bruce Amani

Share:

Utulivu wahimizwa nchini Sudan Kusini

Marekani na Umoja wa Ulaya wamewataka viongozi wa Sudan Kusini kuendeleza hali ya utulivu na kuzuia vitendo vya ghasia baada ya Rais Salva Kiir kulivunja baraza la mawaziri akiwemo naibu wake.
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini

Marekani imesema imesikitishwa sana na hali ya kuhatarisha utulivu wa taifa hilo changa duniani.

Bwana Kiir alilivunja baraza la mawaziri siku mbili zilizopita katika kile kinachoonekana kuwa ni kugombea madaraka kati yake na makamu wa rais Riek Machar.


Sudan Kusini yenye utajiri mkubwa wa mafuta ilipata uhuru wake kutoka Sudan mwaka 2011 baada ya miaka mingi ya mgogoro kati ya nchi mbili hizo.

Vikundi mbalimbali vyenye silaha vimeendeleza harakati zao nchini humo.

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Sudan Kusini Mayek Makol amesema Rais Kiir anafanya mashauriano akipanga kuunda serikali mpya.

Hata hivyo amekataa kusema mashauriano hayo yatachukua muda gani.

"huenda yakachukua siku tatu, nne, au wiki moja", amesema.

Kwa wakati huu wafanyakazi waandamizi wa umma, wanaendesha shughuli za serikali ya nchi hiyo ambayo ni ya mwisho kwa maendeleo duniani.

Mabomba ya mafuta Sudan Kusini

Katika taarifa yake, wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema:" Ni muhimu kwa Sudan Kusini kubaki na mtazamo wake wa ukweli iliouonyesha wakati wa siku ya uhuru wake miaka miwili iliyopita."

Zaidi ya watu milioni 1.5 waliuawa na wengine zaidi ya milioni nne kukosa mahali pa kuishi wakati wa mgogoro kati ya Sudan Kusini, ambako watu wengi ni Wakristo au kufuata imani za dini za kimila, na waislam wenye kuzungumza Kiarabu , Sudan kaskazini.

Lakini nchi hiyo imepata matatizo sugu ya kiuchumi tangu wakati huo na kuimarika kwa uchumi wake kumecheleweshwa na mvutano juu ya mpaka na mafuta kati yake na majirani zao Sudan Khartoum.

Share:

MSHIRIKI WA BIG BROTHER KUTOKA TANZANIA NANDO AZUA UGOMVI MKUBWA NA ELIKEM KUTOKA GHANA



The House came to a standstill this evening when Nando and Elikem got into a fight of epic proportions.

All sorts of unpalatables were hurled at Elikem by Nando, who finds Elikem's childish ways offensive. "You're a b*tch n*gga. You're 24 and I'm 22 but you shake your butt in front of the cameras. Who does that? Now I'm regretting why I never Nominated you," an aggravated Nando said. Nando was clearly pulling the wool over everyones eyes because he actually Nominated Elikem on Monday.

When Elikem said "I have nothing to say to you," Nando told him "I have plenty to say and I will say it". Nando then lunged at Elikem and grabbed his beanie. "That's my beanie and only real n*gga's are allowed to wear it. Not people like you". After more insults were hurled, Elikem finally exploded and told Nando "I dare you to start this on the outside. I double dare you," he shouted as Bimp, Oneal and Melvin scrambled to break up the volatile situation. The argument looked like it would turn catastrophic as soon as Elikem told Nando “The only reason I'm letting you go is because we're in here. F*ck you and your mother”.

Bimp and Melvin then dragged an incensed Nando to the bathroom so they could calm him down. "Nobody double dares me. I swear. I felt like stabbing that n*gga. These are the n*ggas that deserve to die," the Tanzanian said. Nando already has a Strike after concealing a knife under his jacket during one of the Channel O parties.

Many of the Housemates said Nando was probably carrying it in case he and Sulu got into a fight. Because of his actions, Nando got a Strike. "Nando don't do this. This could be seen as extreme provocation. You already have a Strike," Bimp said.

Nando wasn't having any of that and told Bimp "If he didn't dare me, it would be fine. I won't let it go. This whole weekend, I will speak my mind," Nando said.

Share:

HATIMAYE AMANDA NA BWANA MISOSI WAMWAGANA



HATIMAYE wale wapenzi waliong’aa hivi karibuni, mwigizaji Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’ na Mbongo Fleva, Joseph Rushahu ‘Bwana Misosi’ wanadaiwa kumwagana rasmi
Habari kutoka chanzo ambacho ni mtu wa karibu wa wapenzi hao, zilieleza kuwa Amanda na Bwana Misosi walishamwagana kimyakimya ikiwa ni baada ya kushindwa kuelewana kitabia.
Baada ya kuzinyaka habari hizo, mwanahabari wetu alimtafuta Amanda ili aelezee ukweli kuhusu habari hizo ambapo alikiri kuwa ni kweli wameshaachana na hii ni baada ya kushindwana kitabia.
“Mimi na (Bwana) Misosi tumeachana muda mrefu tangu mwezi wa pili baada ya kushindwana na katika uhusiano wa kimapenzi, nimejifunza kuwa wanaume siyo watu wa kuwaamini asilimia mia moja kwani baadaye unaweza kujuta,” alisema Amanda.
Kwa upande wake Bwana Misosi hakuweza kujibu moja kwa moja swali aliloulizwa bali alianza kwa kujikanyagakanyaga
“Kwanza niko safarini, je, ni nani aliyekuambia hizo habari….hebu ngoja nimpigie huyo Amanda nimuulize nani aliyetoa siri hiyo,” alisema Misosi.

Share:

STAA WA BONGO MOVIES DUDE ANASWA NA DEMU MWINGINE

STAA wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amenaswa na demu mwingine aitwaye Mboni Mhando tofauti na mkewe anayeshi naye, Eva
Dude na demu huyo aliyebainika kuwa ni msanii, walinaswa juzikati katika Hoteli ya Traventine Magomeni, jijini Dar wakijivinjari katika mikao ya kimalovee ambapo paparazi wetu alitumia kifaa maalum cha kupigia picha na kuwanasa bila wao kujijua.
Baada ya kuzinasa picha hizo, paparazi wetu alimvaa Dude na kumuuliza kulikoni agandane na demu huyo wakati ana mkewe nyumbani, alichomoa kuwa siyo demu wake bali ni msanii mwenzake eti wanapanga mipango ya kazi.

Hapa tulikuwa tunapanga mipango ya kufanya filamu, huyu ni msanii tena wa siku nyingi sababu aliwahi kucheza kwenye Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu miaka ile,” alisema Dude huku akimsihi paparazi afute picha kama amekwisha piga.
.
Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive