Friday, 31 May 2013

MWAKILISHI WA TANZANIA BBA ALIVYOJIACHIA NA MSHIRIKI TOKA NAMIBIA

Jana (May 30) ilikuwa ni usiku wa Nne katika jumba
la big brother Afrika huko Afrika Kusini mengi
yanazidi kuonekana na sasa washiriki wengi
wanaanza kuonesha side B ya mioyo yao na
kujaribu kupata muda wa kuwa romantic
na kuonesha upendo (Romantic time).

Wakati washiriki wengine wakiendelea na
mambo yao mtanzania Ammy Nando alijiachia kwenye bafu moja na
na kuoga na mrembo Dillish kutoka na Namibia ambae ni
mwanafunzi wa mwaka wa tatu akisomea Saikolojia.

Huenda huu ukawa mwanzo wa mahusiano yao
humo ndani kwa sababu moyo hauna pazia na
uruzi wa Dillish unaweza kumvuta to the limit
model huyo wa kitanzania.

Kwa upande mwingine the boss lady toka Kenya Huddah
Monroe alipata nafasi ya kushare na Denzel mawili
matatu hasa kuhusu mahusiano, wakati Denzel akiwa
ameonesha tangu mwanzo kudata kwa Huddah. Jana
Huddah alifunguka na kumwambia kuwa anahitaji
mwanamme mwenye pesa na kwamba she is a
gold digger. Lakini second kadhaa baadae
akafuta kauli yake na kumwambia kuwa
alikuwa anatania. Really?!

Wiki hii Benzel, Betty, Huddah, Selly na
Natasha wako katika nafasi kumbwa na Eviction.

Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive