Tuesday, 23 July 2013

MKE WA MTU AFUMWA GUEST HOUSE AKIVUNJA AMRI YA SITA NA BOSI WAKE



Mwanamke mmoja[jina limehifadhiwa] alifumwa ndani ya nyumba ya kulala wageni maarufu kama guest house akifanya ufiraun na tajiri yake.
tukio hilo lime tukia mida ya saa 2 usiku wa kuamkia leo  ambapo inasemekana kuwa ilikuwa ni kawaida kwa mama huyo kujivinjari na tajiri yake muda ambao mume wake anakuwa hayupo
inadaiwa kuwa baada ya mume kutonywa na wasamalia wema kuhusiana na mchezo mchafu anaoufanya mkewe ikabidi jamaa amuandalie tego ambalo jana ndo lilisoma vizuri.
kwa sasa wagon wa jamaa wote wako katika kituo cha polisi cha mwatex ambapo walifikishwa kwa ajili ya usalama wao
Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive