Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ambaye muda mwingi amekuwa
akiishi Afrika Kusini ameelezea jinsi maisha ya Bongo yalivyomchosha
huku usumbufu anaopata kutokana na makalio yake makubwa ikiwa moja ya
sababu.
Akipiga stori mwandishi wetu, Masogange alisema umbile lake hilo limekuwa likimfanya akose amani anapokatiza mitaani, tofauti na Sauzi ambako wanawake wengi wamefungashia huku yeye akionekana ‘cha mtoto’.
“Muda mwingi niko Sauzi, Bongo miyeyusho na hili umbo langu nimekuwa
nikisumbuliwa sana na wanaume lakini Sauzi hili langu la kawaida, wengi
wamefungashia ile mbaya, kwa hiyo muda mwingi nitakuwa huko, huku
nitakuwa nakuja na kuondoka,” alisema MasogangeAkipiga stori mwandishi wetu, Masogange alisema umbile lake hilo limekuwa likimfanya akose amani anapokatiza mitaani, tofauti na Sauzi ambako wanawake wengi wamefungashia huku yeye akionekana ‘cha mtoto’.






