Thursday, 28 May 2015

mchungaji afumwa akivunja amri ya sita na mke wa mtu

lilikuwa ni sakata la kushangaza pale ambapo mchungaji wa kanisa maarufu nchini kenya alipofumwa na raia kwenye nyumba za kulala wageni almaarufu kama guest house akivunja amri ya sita (akila uroda} na mke wa mtu ambaye pia ni mfuasi katika kanisa lake. mchungaji huyo alinusurika kichapo baada ya kuchomoka na kukimbia mbio za mbwa mwizi
                 kwa mambo yote tazama vidio hiyo hapo chini.
Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive