Jamii nyingi duniani kwa sasa zimekuwa zikilalamikia kupotoka kwa watoto kimaadili ikiwa ni matokeo ya mabadiliko ya mfumo wa maisha,Waislamu wengi wamekuwa wakitumia kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwafundisha watoto wao namna bora ya maisha.





