
washtakiwa wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi akiwemo mwenyekiti wa kampuni inayo shughurikia maswala ya uwekezaji wa mitaji na dhamana(EGMA) Bwana Harry Kitilya ataendelea kusota mahabusu kutokana na tamko la wakili wa serikali ndugu Patrick Mwita mbele ya hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi kuwa upelelezi wa kesi hii bado hauja kamilika
kitendo kilichosababisha usikilizwaji wa kesi hii kuahirishwa mpaka tarehe 16 Novemba 2018 ili kuona kama upelelezi utakuwa umesha kamilika.
ili kuendelea kupata update zaidi
basi usisite kukaa karibu nasi.





