Thursday, 2 April 2015

kura ya maoni kuhusu katiba mpya yaahirishwa.....


Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Tanzania,Jaji mstaafu Damian Lubuva akitoa tamko.

Tume ya Uchaguzi wa taifa la Tanzania, kukabiliwa na na msisitizo wa muda mrefu wa wananchi juu ya kuahirishwa kwa tarehe ya kufanyika kura ya maoni kuhusu katiba inayopendekzwa na tume hiyo kutoa msimamo kwamba tarehe haitobadilika, leo hii tume hiyo imetoa kauli tofauti. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi , Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametangaza kuwa zoezi hilo la kura ya maoni limeahirishwa, jambo ambalo limezua hisia tofauti nchini humo.
Share:

Follow Us

Random Posts

BTemplates.com

Powered by Blogger.
The Magazine

Facebook

Total Pageviews

Random Posts

Recent Comments

Recent Posts

Popular Posts

Blog Archive