ki ukweli ni hatareee,
Shishi afanya mambo makubwa ujerumani na hizi ni baaadhi ya picha ambazo zimenaswa na mashushushu wetu ambazo ni moja kati ya script za video ya wimbo wake wa malele.
hapa Shishi alikuwa amsterdam ujerumani na eneoambalo litaingarisha sana video yake.





